DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo?


Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta?


IMG_20221204_124705.jpg

The entire leadership of Temeke and the Government what is the goal of these deaths and accidents in this part of the road called Temeke-Tandika-Raha Leo? Every day, children are hit by cars and frequent accidents. Have you failed to set up a Zebra crossing or bumps?

TUWE NA HURUMA NA WATU TUNAO WAONGOZA.
 
Mkuu wa Mkoa kila siku anafanya Mikutano Ajenda kuu kumsifia Raisi.
 
Tatizo si Zebra

Tatizo ni Elimu ya Matumizi ya Zebra
Matumizi sahihi ya Barabara

Kama umewahi endesha gari utaelewa kuwa Watz ni wajinga kwenye uvukaji barabara, watu wanafanya mzaha.

Gari inasubiri mtu avuke, mtu anajipitisha kama punda, badala apite kwa haraka, yeye anaendelea chat

Wanafunzi ndo sehemu ya kuchezea
 
Back
Top Bottom