TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

Sijui kwanini siku hizi siumii akifa mtu wa serikalini
 
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu.
RAIS SAMIA ATOA POLE
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi. Esther Alexander Mahawe, kilichotokea leo tarehe 14 Januari, 2025 katika Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro.

Nawapa pole familia ya marehemu, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha ya Bi. Esther na utumishi wake kwa umma ambao uliongozwa na uchapakazi hodari, ukweli na msimamo thabiti katika utendaji.

Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amina.
Huws nawaza na kufikiri sana juu ya hawa viongozi wa Ccm, lau kama wote wange fahamu hatma ya maisha yetu wote ni kifo, hawange fanya haya wanayo fanya. Kuua watu, kutesa watu, kuhujumu mali za watu, kubri, dharau.
Vyote hivi Mungu hapendi. Jifunzeni kupitia kifo. Haya majivuno na dharau vyote mta viacha hapa duniani.. Je? Hesabu zako kwa Muumba zikoje?
 
Ester Alexander Mahawe is a Tanzanian politician and a member of the CCM political party . She was elected as a Member of Parliament for the Special Women's Seats for the years 2015–2020.

He has been appointed as the head of Kigoma District starting in 2021. In an appointment made in early 2023 by Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, he has been transferred to Mbozi District in Songwe Region.
 
H
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu.
RAIS SAMIA ATOA POLE
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi. Esther Alexander Mahawe, kilichotokea leo tarehe 14 Januari, 2025 katika Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro.

Nawapa pole familia ya marehemu, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha ya Bi. Esther na utumishi wake kwa umma ambao uliongozwa na uchapakazi hodari, ukweli na msimamo thabiti katika utendaji.

Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Aminahuyu

Huyu mama kaumwa muda mrefu alikua anapambana na kansa apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom