Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Credible information ni kuwa amefariki kwa Corona.Hapana mkuu ni tahadhari tu kuepuka msongamano, jamaa alikuwa mtu wa watu, wangeruhusu watu kuhudhuria ingeweza kusababisha watu kuambukizana
Sidhani kama ni haters.Haters watasema ni corona....RIP DC
Sidhani kama ni haters.
Ni hio kuzikwa na serikali na watu wasiozidi 10 ndio inawafanya wahisi ni Corona.
Sio kawaida kwenye nchi yetu.
Huo ni mtazamo wakoKila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Nafsi yako inaujua ukweli! Hukumu ya Mungu haitadanganywa na mapambio ya akina Polepole na Bashiru et al!
Mbona leo asubuhi highway dodoma-mwanza nimekutana na costa imebeba jeneza na wafiwa, inasafirisha kutoka dar kwenda huko shinyanga. Inamaana hao serikali imewaruhusu ila huyu mkuu wa wilaya serikali imeamua azikwe mtwara! Ummy Wekeni takwimu vzr ili zisaidie kuokoa walio hai.“Tumekubaliana na familia kwamba sisi Serikali ndiyo tutakaosimamia mazishi yake…na hakutakuwa na kusafirisha mwili…atazikwa hapa Mtwara…na hatazikwa na zaidi ya watu kumi,” Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akielezea taratibu za mazishi ya liyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda aliyefariki dunia Aprili 26, 2020 katika Hospitali ya Rufaa Ligula alipokuwa akipatiwa matibabu.
#AzamTVUpdates
Ni kweli Coronavirus kabisa. Maana kweli kwa nini familia yake iombwe kuja Mtwara kumzika ?Sio kweli. Credible information ni kuwa amefariki kwa Corona.
And by the way, watu bado wanakusanyika misikitini na makanisani, mbona serikali inaruhusu.
Hizo ni imani potofu kabisa na ushindwe ktk jina la Yesu.Hao CDM wanaokufa wao hufa kwa ajili gani?Kama wanavyoua wengine kwa itikadi za kisiasa. Ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga. Hii haimanishi upanga wa chuma au wa kunoa kwenye jiwe.
Ni kweli Coronavirus kabisa. Maana kweli kwa nini familia yake iombwe kuja Mtwara kumzika ?
Daaaaaah hii corona hatari sanaMkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
Mr ukifa kwa ugonjwa wa kawaida unasafirishwa tu, Juzi hapa kuna rafiki yangu amefariki akiwa dar es salaamu kasafirishwa hadi mbeya kwenda kuzikwa amezikwa ijumaa iliyopita,Mbona leo asubuhi highway dodoma-mwanza nimekutana na costa imebeba jeneza na wafiwa, inasafirisha kutoka dar kwenda huko shinyanga. Inamaana hao serikali imewaruhusu ila huyu mkuu wa wilaya serikali imeamua azikwe mtwara! Ummy Wekeni takwimu vzr ili zisaidie kuokoa walio hai.