TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Kumbuka Jiwe "anajifanya" kumwamini Mungu kweli kweli, hivyo maandiko yanasema utahukumiwa kwa matendo yako! Matendo tunayaona yanayofanywa na CCM, hayana kificho! Kwaheri, nimechoka!
Acha ufisadi ndiyo pona yako!
 
Yaani wenye Afya Mgogoro lazima wote number zisomeke! Nyie shindeni hapa tu!
 
View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.

Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.

Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.

View attachment 1431934

Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.

Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.

2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
View attachment 1432007
Stay tuned...

========

UPDATES: 1300hrs

========

“Tumekubaliana na familia kwamba sisi Serikali ndiyo tutakaosimamia mazishi yake…na hakutakuwa na kusafirisha mwili…atazikwa hapa Mtwara…na hatazikwa na zaidi ya watu kumi,” Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akielezea taratibu za mazishi ya liyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda aliyefariki dunia Aprili 26, 2020 katika Hospitali ya Rufaa Ligula alipokuwa akipatiwa matibabu.
Covid -19 imefanya yake, anyway poleni wafiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another victim is done

Jr[emoji769]
Masikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!
Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Mungu alitoa, Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Tunasubiri afe nani ndipo Watanzania tuzinduke?
Korona, korona, korona, korona, ........
 
Hiyo ni kawaida! Hata huku mtaani sasa hivi mtu akifariki selikali ya mtaa lazima isimamie kuhakikisha hakuna watu kujazana msibani

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali za mtaa zinafanya hivyo makanisani na misikitini.

Kuna dada alikuwa analalamika kuna kanisa jirani na kwake wanakusanyika kwa wingi sana na hawavai barakoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo Corona,huko Morogoro napo naibu meya katangulia mbele ya haki kwa Corona!
IGP Siro njoo huku utekeleze maagizo ya Jiwe ! Kuna mtu anasea Tanzania kuna corona. Tanzania hakuna corona!
 
Masikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!
Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Mungu alitoa, Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Tunasubiri afe nani ndipo Watanzania tuzinduke?
Korona, korona, korona, korona, ........
Wachaga sasa hivi hakuna kurudishwa Moshi ulipo hapohapo, kwa kweli hii Corona imekuja kuleta mageuzi
 
Masikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!
Kumbe mchaga? nasema hivyo maana wachaga na jiwe na maji na mafuta! Paka na panya! Basi huyu aliamua kuwasaliti wachaga apendwe na Jiwe!
 
Eti bila jiwe. Daah. Ila jiwe katuweza sana. Hana plan yoyote na anapenda kujitange sana .wanadai chato kuna ventilator imetoka Mwanza/ bugando
Yaani jamaa kwa plan zinazomuhusu yeye yuko vema sana
Mkuu sio hivyo inasemekana kuwa aliko kajiwekea lockdown hakuna ruksa kuingia chato. Ushahidi sina lakini lisemwalo mmmm.
 
Back
Top Bottom