Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Nafsi yako inaujua ukweli! Hukumu ya Mungu haitadanganywa na mapambio ya akina Polepole na Bashiru et al!Hata jiwe hajawahi kuua mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Nafsi yako inaujua ukweli! Hukumu ya Mungu haitadanganywa na mapambio ya akina Polepole na Bashiru et al!Hata jiwe hajawahi kuua mtu
Gonjwa hili ni balaa .Mkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
Hapana mkuu ni tahadhari tu kuepuka msongamano, jamaa alikuwa mtu wa watu, wangeruhusu watu kuhudhuria ingeweza kusababisha watu kuambukizana
That might have been a typo er! alisahau kuweka "e".... yameisha!Niliye mquote/msahihisha aliandika...on of the good advocates......Kama iko sawa ok lets move on...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufisadi ndiyo pona yako!Kumbuka Jiwe "anajifanya" kumwamini Mungu kweli kweli, hivyo maandiko yanasema utahukumiwa kwa matendo yako! Matendo tunayaona yanayofanywa na CCM, hayana kificho! Kwaheri, nimechoka!
Tukiuugua twende wapi?Sasa hivi unaenda Hospitali na ugonjwa wako wa kawaida unaenda kulizoa gonjwa la Corona bin virus
Si mumeshaambiwa jifukizeni miziziTukiuugua twende wapi?
Uzuri wa corona ni kwamba haibagui. Inachapa wote. Hata CCM, kwa kupitia Katibu wao wa Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole aliposema corona ni kama wapinzani hakujua nao watachapwa. Corona kiboko yao!Haters watasema ni corona....RIP DC
Covid -19 imefanya yake, anyway poleni wafiwaView attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
View attachment 1431934
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
View attachment 1432007
Stay tuned...
========
UPDATES: 1300hrs
========
“Tumekubaliana na familia kwamba sisi Serikali ndiyo tutakaosimamia mazishi yake…na hakutakuwa na kusafirisha mwili…atazikwa hapa Mtwara…na hatazikwa na zaidi ya watu kumi,” Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akielezea taratibu za mazishi ya liyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda aliyefariki dunia Aprili 26, 2020 katika Hospitali ya Rufaa Ligula alipokuwa akipatiwa matibabu.
Masikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!Another victim is done
Jr[emoji769]
Serikali za mtaa zinafanya hivyo makanisani na misikitini.Hiyo ni kawaida! Hata huku mtaani sasa hivi mtu akifariki selikali ya mtaa lazima isimamie kuhakikisha hakuna watu kujazana msibani
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP Siro njoo huku utekeleze maagizo ya Jiwe ! Kuna mtu anasea Tanzania kuna corona. Tanzania hakuna corona!Shikamoo Corona,huko Morogoro napo naibu meya katangulia mbele ya haki kwa Corona!
Hao ni wajinga selikali imeshatoa mwongozo,!Serikali za mtaa zinafanya hivyo makanisani na misikitini.
Kuna dada alikuwa analalamika kuna kanisa jirani na kwake wanakusanyika kwa wingi sana na hawavai barakoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga sasa hivi hakuna kurudishwa Moshi ulipo hapohapo, kwa kweli hii Corona imekuja kuleta mageuziMasikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!
Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, aipumzishe roho yake mahali pema peponi.
Mungu alitoa, Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Tunasubiri afe nani ndipo Watanzania tuzinduke?
Korona, korona, korona, korona, ........
Kumbe mchaga? nasema hivyo maana wachaga na jiwe na maji na mafuta! Paka na panya! Basi huyu aliamua kuwasaliti wachaga apendwe na Jiwe!Masikini Evodius Mmanda, Wakili Msomi, mtu wa watu, DC asiye na mbwembwe, nyumba yake ya milele inakuwa Mtwara, badala ya Rombo, akizikwa na watu wasiozidi kumi!
Mkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
Mkuu sio hivyo inasemekana kuwa aliko kajiwekea lockdown hakuna ruksa kuingia chato. Ushahidi sina lakini lisemwalo mmmm.Eti bila jiwe. Daah. Ila jiwe katuweza sana. Hana plan yoyote na anapenda kujitange sana .wanadai chato kuna ventilator imetoka Mwanza/ bugando
Yaani jamaa kwa plan zinazomuhusu yeye yuko vema sana