TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Labda ikianza kutafuna viongozi. Hatua zitachukuliwa.
 
Mkuu muwe mnasikiliza taarifa kwa umakini sana ili kuepusha kupotosha umma na kujidhalilisha mwenyewe kwa kuonekana huna maana mbele za watu

Iliyofungwa juzi hapo amana sio mashine ya kusaidia kupumulia Bali ni machine ya inayotumiwa na watu wenye matatizo ya vifo ili kuwafanyia dialysis ,

Kuhusu machine za kusaidia kupumlia ziko kwa kila hospitality ,ila huenda zisitoshe mahitaji,maana waweza kuta hospital ina five machines ili khali una watu kumi wanahitaji hizo machine

Hivyo ulichokiandika hapa mkuu sio kweli huenda ulinukuu vibaya hizo taarifa,
Waziri Jafo anasema karibu siku mbili marehemu alikuwa na matatizo ya upumuaji. Huko mtwara sijui kama kuna ventilators,kama Amana Dar imefungwa moja juzi,vipi mikoa ya pembezoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha uongo.
Ventilators Amana imepelekewa moja kutoka Muhimbili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu wenye matatizo ya vifo wapoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiwe mkataa ukweli,iliyopelekwa pale amana ni dialysis machine na sio ventilator,hivi mkuu kwa akili ya kawaida machine kama hizo zikosekane amana,?OK tuchukulie imepelekea lakini sio kwamba hazikuwepo ila labda kuongeza uwepo wa hizi machines baada ya zilizopo kuzidiwa
We acha uongo.
Ventilators Amana imepelekewa moja kutoka Muhimbili.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini hichi
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo zenye thamani ya TZS. 210 Mil. na inatarajia kufunga mashine moja ya kusaidia mgonjwa kupumua (ventilator) yenye thamani ya TZS. 56 Mil. katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ili kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi ya virusi vya CORONA.
 
Kwa akili ya kawaida haitakiwi zikosekane.

Ila kwa akili zetu ventilators zipo hospitali za rufaa za kanda na taifa tu nako pia hazitoshi. Ni pungufu kuliko vitanda vya ICU vya hizo hospitali. Ndo maana hata MNH wametoa moja tu.

Kwa kukusaidia ventilators siyo ile mitungi ya oxygen na mask zake ambazo hata zahanati zinayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mhe. DC na jirani yangu, hatuweza kuhudhuria mazishi ila Mungu ni mwema.[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…