Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Corona itawepeleka subiri tuWatu wameteseka sana awamu hii! Anakwenda bila Jiwe, peke yake wala Polepole, Bashiru hawapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona itawepeleka subiri tuWatu wameteseka sana awamu hii! Anakwenda bila Jiwe, peke yake wala Polepole, Bashiru hawapo!
Mna vichwa vigumu nyie watuu.Nahisi Twitter pamechangamka mana hao activist saivi kila kitu wao ni Covid19
Hivi MaCCM yanakufaga..!.
MACCM kanyageni kwa adabu Ardhi ya Allah.
Hatua za kutosha zimeshachukuliwa katika hili janga kuna kufa au kupona km yalivyo magonjwa mengineLabda ikianza kutafuna viongozi. Hatua zitachukuliwa.
Unashindwa kujiongenza ?Wachaga wakose pesa za kusafirisha ndugu yao ?Labda serikali haina fedha za kusafirisha maiti hadi moshi
In God we Trust
Waziri Jafo anasema karibu siku mbili marehemu alikuwa na matatizo ya upumuaji. Huko mtwara sijui kama kuna ventilators,kama Amana Dar imefungwa moja juzi,vipi mikoa ya pembezoni.
Mkuu muwe mnasikiliza taarifa kwa umakini sana ili kuepusha kupotosha umma na kujidhalilisha mwenyewe kwa kuonekana huna maana mbele za watu
Iliyofungwa juzi hapo amana sio mashine ya kusaidia kupumulia Bali ni machine ya inayotumiwa na watu wenye matatizo ya vifo ili kuwafanyia dialysis ,
Kuhusu machine za kusaidia kupumlia ziko kwa kila hospitality ,ila huenda zisitoshe mahitaji,maana waweza kuta hospital ina five machines ili khali una watu kumi wanahitaji hizo machine
Hivyo ulichokiandika hapa mkuu sio kweli huenda ulinukuu vibaya hizo taarifa,
Sent using Jamii Forums mobile app

LockdownHatua za kutosha zimeshachukuliwa katika hili janga kuna kufa au kupona km yalivyo magonjwa mengine
Sijui ni hatua gani ambazo wewe unataka zichukuliwe ndo uone hatua zimechukuliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha uongo.
Ventilators Amana imepelekewa moja kutoka Muhimbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hichiMkuu muwe mnasikiliza taarifa kwa umakini sana ili kuepusha kupotosha umma na kujidhalilisha mwenyewe kwa kuonekana huna maana mbele za watu
Iliyofungwa juzi hapo amana sio mashine ya kusaidia kupumulia Bali ni machine ya inayotumiwa na watu wenye matatizo ya vifo ili kuwafanyia dialysis ,
Kuhusu machine za kusaidia kupumlia ziko kwa kila hospitality ,ila huenda zisitoshe mahitaji,maana waweza kuta hospital ina five machines ili khali una watu kumi wanahitaji hizo machine
Hivyo ulichokiandika hapa mkuu sio kweli huenda ulinukuu vibaya hizo taarifa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe mkataa ukweli,iliyopelekwa pale amana ni dialysis machine na sio ventilator,hivi mkuu kwa akili ya kawaida machine kama hizo zikosekane amana,?OK tuchukulie imepelekea lakini sio kwamba hazikuwepo ila labda kuongeza uwepo wa hizi machines baada ya zilizopo kuzidiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
Stay tuned...
UPDATE
SERIKALI KUSIMAMIA MAZISHI YAKE
“Tumekubaliana na familia kwamba sisi Serikali ndiyo tutakaosimamia mazishi yake…na hakutakuwa na kusafirisha mwili…atazikwa hapa Mtwara…na hatazikwa na zaidi ya watu kumi,” Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa akielezea taratibu za mazishi ya liyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda aliyefariki dunia Aprili 26, 2020 katika Hospitali ya Rufaa Ligula alipokuwa akipatiwa matibabu.