TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Apumzike mahala pema Wakili Evod Mmanda
 
R. I. P Mmanda . Muwe mnakumbuka Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi. Muachage mashauzi.

Naona CCM wanapukutika kwa kasi ya mwanga wa jua. Wiki tu vigogo kama sita wamekata roho.
 
Kichwa chako kimeoza kama cha TL aliyehadaiwa kuichafua nchi yake kimataifa kwa maslahi ya Wakoloni ili tu ionekane Serikali ya awamu ya 5 haiheshimu haki za Binadamu wakati aliko hakuna mtu anyeweza kuitukana nchi yake kimataifa.
Umekera saaana na umeudhi sana na uloyojiombea soon utayapata. Mungu hadhihakiwi
 
Eti bila jiwe. Daah. Ila jiwe katuweza sana. Hana plan yoyote na anapenda kujitange sana .wanadai chato kuna ventilator imetoka Mwanza/ bugando
Yaani jamaa kwa plan zinazomuhusu yeye yuko vema sana
Hata akichukua mavifaa yote ya liBugando kama ikibisha hodi hapo kwake lazima aondoke tu na hizo beteri ni hatariiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…