Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu bwana alishawahi kufanya kazi ITV au nimefananisha mkuuRIP DC Evod Mmanda ulikuwa mahiri Sana kwenye uwanja wa sheria
Hivi ukiambiwa una corona au umekufa na korona, maana yake ni kwamba unachukiwa?Haters watasema ni corona....RIP DC
Mumpime mcofirm,safety firstHaters watasema ni corona....RIP DC
Apumzike mahala pema Wakili Evod MmandaView attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advo Evord Mmanda afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
Stay tuned...
Hapana ni CoonaHaters watasema ni corona....RIP DC
R. I. P Mmanda . Muwe mnakumbuka Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi. Muachage mashauzi.View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advo Evord Mmanda afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
Stay tuned...
Huko atakutana na The Monister Joka atamdaka kama Kunguru aliyeona mzoga.Watu wameteseka sana awamu hii! Anakwenda bila Jiwe, peke yake wala Polepole, Bashiru hawapo!
Na bado wao walidhani wataanza maskini na wapiga porojo mitandaoni
Kichwa chako kimeoza kama cha TL aliyehadaiwa kuichafua nchi yake kimataifa kwa maslahi ya Wakoloni ili tu ionekane Serikali ya awamu ya 5 haiheshimu haki za Binadamu wakati aliko hakuna mtu anyeweza kuitukana nchi yake kimataifa.Nimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!
Hata akichukua mavifaa yote ya liBugando kama ikibisha hodi hapo kwake lazima aondoke tu na hizo beteri ni hatariiii!Eti bila jiwe. Daah. Ila jiwe katuweza sana. Hana plan yoyote na anapenda kujitange sana .wanadai chato kuna ventilator imetoka Mwanza/ bugando
Yaani jamaa kwa plan zinazomuhusu yeye yuko vema sana