TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10



Yes alikuaga kwenye vipindi vya sheria itv ! Wajicarry
 
BREAKING: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara amefariki Dunia “alikuwa na changamoto ya upumuaji”

Bakari Chijumba TZA · 2 minutes ago

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda amefariki Dunia jana saa tano usiku katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara (Ligula), Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amesema Mmanda aliugua na kulazwa kwa siku mbili na alikuwa anasumbuliwa na changamoto ya upumuaji.

“DC wa Mtwara Evod Mmanda amefariki majira ya saa tano usiku jana Hospitali ya Mkoa wa Mtwara(Ligula), ameanza kuugua juzi amelazwa kwa siku mbili na shida kubwa ni kwamba alikuwa na changamoto ya upumuaji, ni pengo kubwa alikuwa Mwanasheria mzuri na



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho kwanini anasema stay tuned.


MUNGU amrehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... Rebecca, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, jina sahihi la kwanza la marehemu ni Evod (au kwa kirefu ni Evodius) na sio Avod kama ulivyoandika tena umerudia mara mbili kosa hilo!

Tuna haki ya kuhoji weledi wako hususan unapofanya kosa la kijinga kama hilo ukizingatia rekodi za mhusika mnazo huko huko Serikalini ambako alikuwa mtumishi. Ninyi ndio huwa "mnawapotosha" viongozi kwa kukosa umakini.
 
Waziri Jafo anasema karibu siku mbili marehemu alikuwa na matatizo ya upumuaji. Huko mtwara sijui kama kuna ventilators,kama Amana Dar imefungwa moja juzi,vipi mikoa ya pembezoni.
 
Rip Wakili msomi Mmanda
 
Hizo taarifa za viongozi wao wanatoa ya nini wakati wananchi wakifa kwa corona hawatangazi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Wewe huna tofauti na mnyama wa porini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…