Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Poleni wafiwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!
R. I. P Mmanda . Muwe mnakumbuka Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi. Muachage mashauzi.
Naona CCM wanapukutika kwa kasi ya mwanga wa jua. Wiki tu vigogo kama sita wamekata roho.
Acha siasa kwenye mambo ya misiba inashiria kwamba pengine umefurahia kifo chake kwa itikadi za kusiasa.
UmekurupukaHaters watasema ni corona....RIP DC
Bashite bado hajatoa ripoti yake, ana nini siku hizi?Haters watasema ni corona....RIP DC
Wewe ndio umesema. Corona haifichiki ingawa mnajitahidi sana kuficha.Haters watasema ni corona....RIP DC
Hapo mwisho kwanini anasema stay tuned.View attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
View attachment 1431934
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
View attachment 1432007
Stay tuned...
... Rebecca, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, jina sahihi la kwanza la marehemu ni Evod (au kwa kirefu ni Evodius) na sio Avod kama ulivyoandika tena umerudia mara mbili kosa hilo!
Hivi huyu bwana alishawahi kufanya kazi ITV au nimefananisha mkuu
Rip Wakili msomi MmandaView attachment 1431852
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo.
Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa.
Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
View attachment 1431934
Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara na rais Magufuli 19 Dec 2016 akichukua nafasi ya Dkt. Khatib M Kazungu ambaye alihamishiwa Wizara ya Fedha.
Wakili Msomi Mmanda aliyekua pia mjumbe wa Bunge la Katiba. Katika Bunge hilo, aliteuliwa na MWENYEKITI wa Muda wa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kama mmoja ya wajumbe 20 Watakaomshauri ili kuboresha utendaji.
2015 alitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo kupitia CCM.
View attachment 1432007
Stay tuned...
Hivi idadi ya waliokufa kwa Covid-19 bado 10 tu!?Halafu huyu jamaa anapitaga alfajiri tu.
Wewe huna tofauti na mnyama wa porini.Nimekuwa perplexed huyu mtu nilimsikia wapi! Ulipoandika kuwa ni wakili, nikakumbuka alikuwa na vipindi kwenye TV vya sheria. Kumbe alishakuwa DC! Ni CCM kumbe, and if that is the case kama kawaida ya CCM amewaonea watu wengi! tangulia kwenye hukumu ya haki! Huko kila mmoja atabeba mzigo wake bila Jiwe!