Sabaya na Mmanda wapi na wapi? Mkuu mbona unapoteza umakini..Yes! Kawaida ni kama sheria. Kuwa katika serikali hii lazima uwe na uwezo wa kuonea watu/kutotenda haki, ndiyo sifa kuu!
DC amcharaza makofi katibu wa Ccm Arusha,aangua kilio kama mtoto - JamiiForums
Kama wanavyoua wengine kwa itikadi za kisiasa. Ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga. Hii haimanishi upanga wa chuma au wa kunoa kwenye jiwe.Acha siasa kwenye mambo ya misiba inashiria kwamba pengine umefurahia kifo chake kwa itikadi za kusiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuficha Corona ni Sawa na kuficha kaa la moto mfukoni mwa surualiMaradhi ya moyo wapi jamani.. Wakati kwake pale Shangani wako karantini sasahivi..
Tangulia Kaka na Rafiki yangu, safari yetu moja!!
Walivyo na majina mengi yawezekana 😅😅😅😅toyota corona toleo jipya
Duuu, watu hamtaki mchezo! Haya bwana na huo moto ukaunguze sawasawa, maana hata wale wakulima waliodhulumiwa koro-show bado wanalia!Mpaka uwaombe msamaha uliowakosea. Aliwaona saa ngapi? Acha kapate moto wa dhambi ya aliowaonea kumfurahisha Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Achana na hilo halioni zuri hata moja katika nchi hii. Litanyooka tu awamu hii lazima limrudie Mungu liache ufisadi wake!Una uhakika ameonea yeyote??
Au ukiwa tu CCM wewe ni mwonevu??
Wewe uliowaibia hapo kazini kwako umewaomba msamaha?Mpaka uwaombe msamaha uliowakosea. Aliwaona saa ngapi? Acha kapate moto wa dhambi ya aliowaonea kumfurahisha Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Hatuna haja ya kubishana, ila tunakumbushana kuwa vyeo tuvitumie vizuri. Tutaviacha na kukumbana na Mkono wa hukumu ya Mungu !Wewe uliowaibia hapo kazini kwako umewaomba msamaha?
Ndio alikuwa na kipindi cha Ijue Sheria pale ITVHivi huyu bwana alishawahi kufanya kazi ITV au nimefananisha mkuu
Wewe huko kwa Mungu ulishaenda na kuona kilichoko huko au ni imani tu? Unaweza ukaenda huko ukakuta watu uliokuwa unawategemea watakuwa wanapata taabu ukawakuta wanaku raha kuliko duniani.Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Hatuna haja ya kubishana, ila tunakumbushana kuwa vyeo tuvitumie vizuri. Tutaviacha na kukumbana na Mkono wa hukumu ya Mungu !
Pumzika kwa amani wakili Mmanda, tasnia ya sheria imepoteza mtu muhimu sana, he was one of the good advocates of our times.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Jiwe "anajifanya" kumwamini Mungu kweli kweli, hivyo maandiko yanasema utahukumiwa kwa matendo yako! Matendo tunayaona yanayofanywa na CCM, hayana kificho! Kwaheri, nimechoka!Wewe huko kwa Mungu ulishaenda na kuona kilichoko huko au ni imani tu? Unaweza ukaenda huko ukakuta watu uliokuwa unawategemea watakuwa wanapata taabu ukawakuta wanaku raha kuliko duniani.
Huo mda unautafuta ushahidi ukiutumia kutafuta pesa si itakuwa Jambo la maana au mwenzetu unaletewa mahitaji nyumbaniOhooooo, kwa sasa acha nikae kimya nikusanye nguvu nije kumwaga ushahidi hapa. Napiga koooona nasepa na kooooona kali!