TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Yes! Kawaida ni kama sheria. Kuwa katika serikali hii lazima uwe na uwezo wa kuonea watu/kutotenda haki, ndiyo sifa kuu!
DC amcharaza makofi katibu wa Ccm Arusha,aangua kilio kama mtoto - JamiiForums
Sabaya na Mmanda wapi na wapi? Mkuu mbona unapoteza umakini..

Acha kuchafua watu usiowajua vizuri, huyo Sabaya umejua tabia zake mbovu sababu amekuwa akizifanya na zikionekana. Mmanda hajawahi kuleta taharuki yeyote na wananchi wa Mtwara ingawa mbunge wao Mtwara Mjini ni wa Upinzani..
 
Una uhakika ameonea yeyote??

Au ukiwa tu CCM wewe ni mwonevu??
Mkuu Achana na hilo halioni zuri hata moja katika nchi hii. Litanyooka tu awamu hii lazima limrudie Mungu liache ufisadi wake!
 
Wewe uliowaibia hapo kazini kwako umewaomba msamaha?
Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Hatuna haja ya kubishana, ila tunakumbushana kuwa vyeo tuvitumie vizuri. Tutaviacha na kukumbana na Mkono wa hukumu ya Mungu !
 
Kila nafsi inajua ukweli wa inachokifanya. Hatuna haja ya kubishana, ila tunakumbushana kuwa vyeo tuvitumie vizuri. Tutaviacha na kukumbana na Mkono wa hukumu ya Mungu !
Wewe huko kwa Mungu ulishaenda na kuona kilichoko huko au ni imani tu? Unaweza ukaenda huko ukakuta watu uliokuwa unawategemea watakuwa wanapata taabu ukawakuta wanaku raha kuliko duniani.
 
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmand atazikwa Mtwara,hatasafirishwa kwenda kwao na familia imekubali

Mazishi yatasimamiwa na serikali na watu watakao hudhuria mazishi hawatazidi 10

Taarifa imetolewa na mkuu wa mkoa Mtwara Glasius Byakanwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huko kwa Mungu ulishaenda na kuona kilichoko huko au ni imani tu? Unaweza ukaenda huko ukakuta watu uliokuwa unawategemea watakuwa wanapata taabu ukawakuta wanaku raha kuliko duniani.
Kumbuka Jiwe "anajifanya" kumwamini Mungu kweli kweli, hivyo maandiko yanasema utahukumiwa kwa matendo yako! Matendo tunayaona yanayofanywa na CCM, hayana kificho! Kwaheri, nimechoka!
 
Ohooooo, kwa sasa acha nikae kimya nikusanye nguvu nije kumwaga ushahidi hapa. Napiga koooona nasepa na kooooona kali!
Huo mda unautafuta ushahidi ukiutumia kutafuta pesa si itakuwa Jambo la maana au mwenzetu unaletewa mahitaji nyumbani
 
Mkuu wa Mkoa Wa Mtwara ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Azam Tv
 
Back
Top Bottom