digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu najua hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili ya kawaida haitakiwi zikosekane.
Ila kwa akili zetu ventilators zipo hospitali za rufaa za kanda na taifa tu nako pia hazitoshi. Ni pungufu kuliko vitanda vya ICU vya hizo hospitali. Ndo maana hata MNH wametoa moja tu.
Kwa kukusaidia ventilators siyo ile mitungi ya oxygen na mask zake ambazo hata zahanati zinayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app