TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Mkuu najua hilo
Kwa akili ya kawaida haitakiwi zikosekane.

Ila kwa akili zetu ventilators zipo hospitali za rufaa za kanda na taifa tu nako pia hazitoshi. Ni pungufu kuliko vitanda vya ICU vya hizo hospitali. Ndo maana hata MNH wametoa moja tu.

Kwa kukusaidia ventilators siyo ile mitungi ya oxygen na mask zake ambazo hata zahanati zinayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alikuwa ana weredi wa kutosha wa sharia.RIP msomi ndugu mwenzangu.
 
Laiti kama mkiona wanaozika wamevaa PPE na msiba ni wa watu wachache huku magari yaliyotumika kubeba msiba ni ya Afya.

Jueni ni COVID-19.
RIP mkuu wa wilaya
Screenshot_20200427-172005_Instagram.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna tofauti na mnyama wa porini.
Wakati mnaua Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo hamkuona kwamba huo pia ni unyama kama wa mnyama wa porini, eeh? Hii chuki mliyoieneza dhidi ya Watanzania itawatesa milele, shenzi ninyi.
 
Stay home
Tufuate maagizo ya wataalam sio wana siasa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom