TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Ni muda muafaka sasa Mkoa wa Geita wauweke karantini. Alianza kufariki Hakimu na sasa amefuata DC anayehudhuriaga na kuongoza vikao vya ulinzi na usalama vya wilaya
 
Kama ni ugonjwa tuseme tu, ila hiki ulichoandika ni uongo mkuu.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mdogo mdogo mtoa roho anakaribia kwenye mamlaka ya uteuzi.
Kwa sasa wateule kwanza.
Wewe ni mkristo? Kama ndio, imeandikwa, "Usimlaani mfalme, la, hata kwa wazo lako, maana ndege wa angani watalipeleka."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…