Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

Wanasiasa bwana.

Wanajipa mavyeo tu ambayo hawajawahi hata kuyafanyia kazi.

Sasa kama huyu anajiita wakili wakati hajawahi hata simami kesi ya kutukanana.

Wanasiasa wa kiafrika ni mzigo kwa wananchi wao.
 
Back
Top Bottom