Kwani kukataa upande ni dhambi? sitaki kumuonea huruma HAMAS, hawa ni wapalestina, tena wanaongoza asilimia nyingi ya uwakilishi kuliko chama cha Fatah, na PLO. Siwatenganishi na Wapalestina kwasababu ni vigumu kumjua Hamas nani, Fatah, au PLO hasa wakati huu.
Waliichokoza Israel wacha wapigwe tu na ujinga wao. Sasa wewe unataka mimi nianze kuwahurumia SITAKI. Wafe tu nami siku yangu nitakufa. Unavyodhani wewe kwamba ningewaonea huruma wapalestina ndio ningekuwa na mchango kwa Taifa langu?
Hunifahamu, sikufahamu. Mchango wangu kwa familia yangu unatosha, ingawa mchango wangu kwa taifa langu ni mkubwa sana. Huyo Dr.Ngwale kuli pembeni ya Magufuli, angekueleza vizuri mchango wangu kwa taifa hili. Usidhani tunaandika hapa hatujielewi.