Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

Iran atamaliza hii vita.

Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Ncha ya upanga wa Iran iko vizuri.
Anasubiriwa Iran ajichanganye ajumuishwe kwenye orodha ya magaidi duniani.
Vipi kuhusu Urusi mnayemtegemea naye wapi?
Hao magaidi wa kiislamu, wanatakiwa wafunzwe adabu.
 
Vita ni Vita Mura mbona Ukraine wanapigwa na wenzao wa Dini moja?
Vita ni vita mura
Libya na sudani ni waislamu 99% ila walichinjana km kuku na kugawana nchi.
Sudan mpk sasa waislamu wanagombea uongozi huku kundi la kigaidi la kiislamu Al shabab ndiyo linaongoza vita kwa kuua watu ovyo.
 
Sishabikii vita ninashabikia amani. Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Wewe ndiyo bIla kujua unashabikia vita.
Unaleta siasa za kale. Dini ni siasa za kale ndio mana kuna nchi na wakuu wa izo nchi ndio miungu yao ikaabudiwa .

Mungu wa kweli atambui Nchi, Mungu wa kweli aliumba Mbingu na ardhi ili watu wote waishi juu ya iyo ardhi yani ukiona apa apakufai amia kule ni wewe na mchakaliko wako.

Mfumo wa kuwa na nchi sijui Taifa ni baadhi ya Watu kutaka kujipa mamlaka zaidi ya kuwatawala wengine na apo ndio zikazuka Dini, mala yakazuka madhehebu, kwa miaka ile Dini na madhehebu ndio sawa na vyama vya siasa kwa sasa.

Ni vizuri tukaombea amani maana wanaoteseka sio wanufaika wa ivo vita. Haijalishi nani ameshinda na nani ameshindwa Watoto wanateseka
 
Mbona jamaa bado anaendelea kui bom tu gaza...........ila si wagaza walijitakia wenyewe
 
Mngepigana na Israel bila kuingiza uislam huko kote tayari mngeshashinda saiz mngekuwa mnalawitiana Tel Aviv ujue, but tatizo mnaunganisha vita na uislam hapo ndo tatizo bibi, najiuliza mnapigania ardhi au msikiti? bt nashindwa kuwaelewa bado mtaendelea kupoteza hata hii mnapoteza na Israel inaweza kujimilikisa Gaza
Kumbe unafahamu kuwa Tel Aviv ni makao makuu ya kulawitiana ya Mashariki ya kati. Kudos, ulitembelea au ulisoma sehemu?
 
Mbona jamaa bado anaendelea kui bom tu gaza...........ila si wagaza walijitakia wenyewe
W Wapalestina walijitakia wenyewe kweli, walipowachukuwana kuwapa hifadhi wakimbizi wakiyahudi wa Ulaya waliokuwa wanauliwa na wakatoliki.

Imani yao ndiyo inawaponza leo hii.
 
Unaleta siasa za kale. Dini ni siasa za kale ndio mana kuna nchi na wakuu wa izo nchi ndio miungu yao ikaabudiwa .

Mungu wa kweli atambui Nchi, Mungu wa kweli aliumba Mbingu na ardhi ili watu wote waishi juu ya iyo ardhi yani ukiona apa apakufai amia kule ni wewe na mchakaliko wako.

Mfumo wa kuwa na nchi sijui Taifa ni baadhi ya Watu kutaka kujipa mamlaka zaidi ya kuwatawala wengine na apo ndio zikazuka Dini, mala yakazuka madhehebu, kwa miaka ile Dini na madhehebu ndio sawa na vyama vya siasa kwa sasa.

Ni vizuri tukaombea amani maana wanaoteseka sio wanufaika wa ivo vita. Haijalishi nani ameshinda na nani ameshindwa Watoto wanateseka

Siombei vita ndugu Bali amani. Nisome Kwa kutulia.

1. Alisema amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga aliona mbali.

2. To be prepared for war is one of the most effectual means of preserving peace.

Maneno kuntu kabisa kutoka Kwa wahenga.

Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!

Viva Iran, viva Putin.
 
Vita ni vita mura
Libya na sudani ni waislamu 99% ila walichinjana km kuku na kugawana nchi.
Sudan mpk sasa waislamu wanagombea uongozi huku kundi la kigaidi la kiislamu Al shabab ndiyo linaongoza vita kwa kuua watu ovyo.

Unajua mgogoro wa Israel na Palestina wala si wa kidini,? Pia Israel wakkristo ni wachache kuliko hata waislam?

"73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze."
 
Kitendo cha askari wa aridhini wa israel kuingia palestina kuna toa picha kuwa hivi vita israel kapania ushind mnono.

Hili ni hatari kwa palestina maana anaenda kupoteza baadhi ya maeneo
 
Kitendo cha askari wa aridhini wa israel kuingia palestina kuna toa picha kuwa hivi vita israel kapania ushind mnono.

Hili ni hatari kwa palestina maana anaenda kupoteza baadhi ya maeneo

Kupora maeneo ya watu ni illegal occupation:

IMG_20231015_072729.jpg
 
Mkuu kumbe hujui kinachoendelea sasa hivi, ni kwamba IDF wanaendelea kuipiga Gaza kutoka angani kama kawaida.
Operation ambayo hawajaanza rasmi kuitekeleza ni Ground assault! Lakini Air force inaendelea kupiga kama kawaida!
 
Mbona umeuingiza Uislam?

Uislam ni mwema sana kijana.
Uislamu huu au kuna mwingine?
Uislmu ni ugaidi.
Mkiwa mnautangaza uislamu, mnaupaka rangi unakuwa mweupe na unavutia ila ukweli wa uislamu ni ugaidi.
Iran - Binti wa kiislamu hakufunika kichwa aliuwawa na waislamu wenzake.
Afghanistan - Ona uislamu unavyonyanyasa wanawake
Sudan - Waislamu wanachinjana km kuku wakigombea madaraka
Libya - waislamu walichinjana kugombea madaraka
Uislamu umeanzisha vikundi vya kigaidi vinavyoua watu, kubaka na kuiba mali kuutanga uislamu km vile Al Shabab, Boko Haram, Al Qaeda na Islamic State.
N.B
Ukiaacha uislamu, ukahamia imani nyingine unauwawa kwa kukatwa kichwa.
 
Al Shababu kwenye mgogoro wa Sudan? Uelewa wako uko Shallow sana Ndugu.
Unafikiri Al Shabab ipo Somalia? Ipo mpk Sudan
Vikundi vya kigaidi vya kiislamu vinafanya kazi sehemu yoyote na wanasaidiana.
Mozambique - Islamic State
Syria - Kuna Islamic State
na Al Shabab inafanya kazi Somalia na Sudan.
Acha kuropka
 
Ukivuliwa nguo chutama. Kulikoni kukomaa bure ndugu?
 
Mtoto wa kijakazi hakuwa na eneo.
Eneo lote ni la waisrael, hata kuwepo hapo mpalestina ni huruma ya Israel tu.

Hayo ya kwako ndugu. Kama unadhani Mungu aliziumba mbingu na nchi akampa ardhi mwisrael basi Kumbe hara China huko ni Israel. Si aende akachukue yake huko?

Kwa Iran amekikwaa kiski hakuna vita Hapo na kama vipi arejeshe ardhi yoye aliyokwiba!
 
Iran ni kitu gani hata aweze kulifanya taifa Teule litikisike!?
Yaani sio tu Iran ziungane nchi za vikundi vyoote vya kigaidi
Bado kwa taifa Teule watachakazwa na kusahaulika usoni mwa dunia...
Kila mmoja ktk nchi anajua Israeli Baba lao
 
Back
Top Bottom