FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Upo sahihi.Uislamu na maovu yote ni kucha na kidole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi.Uislamu na maovu yote ni kucha na kidole
Na wakati huu wenyewe wamekiri kuwa mashambulizi ya jana ni makubwa kuliko yaliyowahi tokea toka 1947Ukinipiga unanionea ukiniacha uniniogopa.hii imepelekea watu 2700 kuuwawa na wengine 1000 kuwa katika rubble(hamas na wafuasi wake)
hua napenda ulivyo honest.Upo sahihi.
Palestina hawapiganii uisilamu, unawajua PFLP? Unawajua watu kama George Habash? Siku zote hio Nchi Jews, Wakristo na waisilamu wapo pamoja. Sasa hivi Israel wana suppress jews ambao hawataki hio vita ila huoni media wakireport. Pia kuna report za Chini chini wanajeshi wengi wamekimbia hawataki kuua Watu wa sio na hatia.Pole mtapigwa sana na mnaendelea pigwa na uislamu wenu
Upo sahihi.hua napenda ulivyo honest.
Hata uovu wa Putin kuivamia Ukraine ni kwasabau putin ni muislamu?Uislamu na maovu yote ni kucha na kidole
subiri mateka watoke, afu tutajua. bado sana nijuavyo hata wakipose kwa mwezi au mwaka, dawa ya kudumu itakuwa inatafutwa.Kwamba huu mchezo ndo umeishia hapo eti?
Netanyahu:Ukombozi una gharama na baadhi ya gharama ni kama hizi. Kwa hakika Palestina wako tayari kupoteza watu zaidi kama itasaidia kumaliza uvamizi wa majahilinhawa.
Kwamba kama hamuogopi kama ndivyo mnavyodhani, kulikoni gia kubadilika angani baada ya kusikia wanae wa shoka hawatakuwa watazamaji?
Kama siyo kuogopa kulikoni Blinken kuondoka kwao kwenda kuwalilia hali waarabu wasiingilie wakati magharibi wanaingilia?
Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!
kwamba itaexpand wapi, hakuna lolote. iran ingekuwa threat kwa Israel, secretary state wa marekani juzi angeenda kufanya mazungumzo Iran. ukiona UK, na marekani wameweka manowari zao karibu na israel pale, jua kuwa aidha kuna jambo kubwa linakuja dhidi ya iran au hao wengine. iran anajua hatapigana na isarel peke yake atapigana na magaribi yote na uwezo huo hana.Amir Abdollahian Iran's Foriegn Minister:
The time for political solutions is running out. And the possible expansion of the war in other fronts is approaching the inevitable stage
Kitu ambacho kinanishangaza ni kwa nini Israel kambi zake za kijeshi zinakuwa ni rahisi sana kufanyiwa figisu kama hizo?Hizbollah wameshapigana na Israel 2006 na hata sasa hivi wanarushiana Makombora na Israel.
Hizbollah hawa wapo well trained sio kama Hamas, Taliban ama vikundi vingine vidogo.
Jana tu wamepiga kambi ya Israel wameharibu vifaru na kuua, kisha wakapandisha bendera yao ndani ya israel wakaondoka. Watu wamechukua video Bendera ya Hizbollah ikipepea ndani ya Israel.
View attachment 2783759
Israel wanaua tu hao watoto, wanawake na watu wengine wasio na hatia ila kwa wenzao wenye vifaa hali tete.
Swali rahisi jiulize kwa nini US, Uk, France, Germany n.k wote wamesema mshirika wa Iran (Hizbullah) asiingilie hii vita?kwamba itaexpand wapi, hakuna lolote. iran ingekuwa threat kwa Israel, secretary state wa marekani juzi angeenda kufanya mazungumzo Iran. ukiona UK, na marekani wameweka manowari zao karibu na israel pale, jua kuwa aidha kuna jambo kubwa linakuja dhidi ya iran au hao wengine. iran anajua hatapigana na isarel peke yake atapigana na magaribi yote na uwezo huo hana.
I wish you could know intelligence tactics on war... PoleIran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.
Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.
Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?
Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?
Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
hawataki vita isambae, ila wamejiandaa kwa lolote na ikitokea imesambaa, hayo mataifa umetaja wanao uwezo kuimaliza muda mfupi sana. sema washajua madhara yake kiuchumi wa dunia kwasababu iran ni mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi. ila deep in their hearts wanajua kuwa iran wakiamua kumpiga, hana uwezo kwenda muda mrefu atapigwa tu. kipindi kile iran ilishambulia kambi za marekani na marekani akanyamaza kwasababu wanavyosema, kweney sheria za vita marekani ndio alikuwa mchokozi, alimuua yule kamanda wa iran. historia ingewasuta san akwamba wao wamechokoza na wao pia wakaanza mashambulizi baada ya retaliation. ila hata wewe unajua kwamba iran hana ubavu wa kupigana na USA, ISRAEL, UK, FRANCE, GERMANY na EU kiujumla.Swali rahisi jiulize kwa nini US, Uk, France, Germany n.k wote wamesema mshirika wa Iran (Hizbullah) asiingilie hii vita?
Ukumbuke pia Iran alifanya maamuzi magumu ambayo hayajawahi kufanywa na mataifa makubwa kipindi hiki cha karibuni kupiga kambi za US nchini Iraq na US akafyata mkia.
Fikiria kwa mapana! Usifikirie kwa mujibu wa vyombo vya habari vinavyokupatia habari!
Ok! Que sera sera!hawataki vita isambae, ila wamejiandaa kwa lolote na ikitokea imesambaa, hayo mataifa umetaja wanao uwezo kuimaliza muda mfupi sana. sema washajua madhara yake kiuchumi wa dunia kwasababu iran ni mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi. ila deep in their hearts wanajua kuwa iran wakiamua kumpiga, hana uwezo kwenda muda mrefu atapigwa tu. kipindi kile iran ilishambulia kambi za marekani na marekani akanyamaza kwasababu wanavyosema, kweney sheria za vita marekani ndio alikuwa mchokozi, alimuua yule kamanda wa iran. historia ingewasuta san akwamba wao wamechokoza na wao pia wakaanza mashambulizi baada ya retaliation. ila hata wewe unajua kwamba iran hana ubavu wa kupigana na USA, ISRAEL, UK, FRANCE, GERMANY na EU kiujumla.
hana pumzi hiyo kiuchumi, kisilaha kwa lolote. israel ni nchi ndogo sana, ambayo kupigana gollilar war inakuwa ngumu kwao na costly, hawataki wawe wanafanya mashambulizi Lebanon na Gaza kwa wakati mmoja, ila inahitaji upungufu mkubwa sana wa akili kuamini kwamba Israel anawaogopa Hezbullah au Iran. juzi hezbullah waliporusha kombora, alishambulia lebanon, na alivuka zaidi akapiga hadi syria. asingefanya hivyo kama anaogopa hayo mataifa mengine. time will tell.
Watu wengi wasichotaka kuamini humu israel ni kama toto linalodeka, chochote kinachotokea anategemea USA imsaidie.Kitu ambacho kinanishangaza ni kwa nini Israel kambi zake za kijeshi zinakuwa ni rahisi sana kufanyiwa figisu kama hizo?