Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

Ukinipiga unanionea ukiniacha uniniogopa.hii imepelekea watu 2700 kuuwawa na wengine 1000 kuwa katika rubble(hamas na wafuasi wake)
 
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.
Kwamba Marekani amejiunga na Hamas kupigana na Israel?
 
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.

Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.

Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.

Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?

Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?

Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
Uliwahi hata kuandamana hapa?? wewe ni mweupe kichwani endelea kuota
 
Mbona umeuingiza Uislam?

Uislam ni mwema sana kijana.
Mngepigana na Israel bila kuingiza uislam huko kote tayari mngeshashinda saiz mngekuwa mnalawitiana Tel Aviv ujue, but tatizo mnaunganisha vita na uislam hapo ndo tatizo bibi, najiuliza mnapigania ardhi au msikiti? bt nashindwa kuwaelewa bado mtaendelea kupoteza hata hii mnapoteza na Israel inaweza kujimilikisa Gaza
 
Kwa hiyo Mleta mada Iran na Urusi yupi uliamini ana nguvu zaidi?

Ile mikwara kuwa atakayeisupport Ukraine ikawaje?

Sasa unajuaje kama wanafanya upembuzi KUJUA wafanyeje?

Sikiliza, kuna upande haujali kuhusu uhai kwamba wafe ama wasife yote ni sawa, na kuna upande Uhai wa raia wao ni kitu Cha thamani sana, Sasa vita ni akili ikiwa unajali UHAI na ikiwa haujali uhai basi vita ni nguvu NYINGI, akili chache Ili mradi umejitutumua...
 
Kumbe imekuwa je sasa si aendelee kumpiga kwa sababu atasema unamwogopa na kumbe humwogopi?

Kulikoni kughairi baada tu ya Iran kukomaa?
MUNGU ni fundi sana. Imagine mtu mwenye saikolojia kama hii awe kiongozi wa taifa kubwa na mtu mwenye maamuzi.
 
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.

Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.

Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.

Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?

Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?

Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
wanazunguka tu ili mateka waachiwe. hizo story zako zitabadilika kabisa mateka wakiachiwa.
 
Ukinipiga unanionea ukiniacha uniniogopa.hii imepelekea watu 2700 kuuwawa na wengine 1000 kuwa katika rubble(hamas na wafuasi wake)

Ukombozi una gharama na baadhi ya gharama ni kama hizi. Kwa hakika Palestina wako tayari kupoteza watu zaidi kama itasaidia kumaliza uvamizi wa majahilinhawa.

Kwamba kama hamuogopi kama ndivyo mnavyodhani, kulikoni gia kubadilika angani baada ya kusikia wanae wa shoka hawatakuwa watazamaji?

Kama siyo kuogopa kulikoni Blinken kuondoka kwao kwenda kuwalilia hali waarabu wasiingilie wakati magharibi wanaingilia?

Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!
 
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.

Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.

Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.

Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?

Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?

Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
Kwahiyo ulitaka vita iendelee kuwa kubwa? Halafu ungefaidika nini? Wewe hauko uwanja wa vita acha kushabikia maumivu usiyoyajua. Zile safari za waziri wa marekani ilikua ni kutafuta suluhu. Wangekua na akili mbili kama zako wangekaa ili wafanye unavyowaza.
 
Iran haiwez ingilia hii vita na ikiingilia ndo mwisho wake
Hizbollah wameshapigana na Israel 2006 na hata sasa hivi wanarushiana Makombora na Israel.

Hizbollah hawa wapo well trained sio kama Hamas, Taliban ama vikundi vingine vidogo.

Jana tu wamepiga kambi ya Israel wameharibu vifaru na kuua, kisha wakapandisha bendera yao ndani ya israel wakaondoka. Watu wamechukua video Bendera ya Hizbollah ikipepea ndani ya Israel.

Israel wanaua tu hao watoto, wanawake na watu wengine wasio na hatia ila kwa wenzao wenye vifaa hali tete.
 
wanazunguka tu ili mateka waachiwe. hizo story zako zitabadilika kabisa mateka wakiachiwa.

Yaonekana umeumia ndugu baada ya gia kubadilika. Mtamwliza bucha zote lakini nyama ni Ile Ile.

Si tuliambiwa kibani ni Hadi mateka waachiewe na HAMAS wafutwe usoni pa dunia?

Kumbe busara mpya imetoka wapi?
 
Mngepigana na Israel bila kuingiza uislam huko kote tayari mngeshashinda saiz mngekuwa mnalawitiana Tel Aviv ujue, but tatizo mnaunganisha vita na uislam hapo ndo tatizo bibi, najiuliza mnapigania ardhi au msikiti? bt nashindwa kuwaelewa bado mtaendelea kupoteza hata hii mnapoteza na Israel inaweza kujimilikisa Gaza
Upo sahihi.
 
Yaonekana umeumia ndugu baada ya gia kubadilika. Mtamwliza bucha zote lakini nyama ni Ile Ile.

Si tuliambiwa kibani ni Hadi mateka waachiewe na HAMAS wafutwe usoni pa dunia?

Kumbe busara mpya imetoka wapi?
mimi niumie kwani ni myahudi? vita ipiganwe uyahudi mimi niumie?
 
Back
Top Bottom