ngoja ajitie wazimu aone kifinyo atakachopata mpaka ma ayatollah watapoteana na huo utakuwa mwisho wao wa kutawala tangu 1979. Bora waufyate mkia kuepusha shariIran haiwez ingilia hii vita na ikiingilia ndo mwisho wake
Hahaha mimi sisimamii haki yoyote, mi nataka mwenye hasira,uchungu, sijui maumivu naye akajitose apigane na huyo anayetaka kupigana naye. Wameamua wenyewe kutwangana nyie mnatafuta nafasi kwa mola ya nini.
Russia wachokozi, na Hamas(Palestina) wachokozi, mkiwa vitani maumivu hayaendi kwa mchokozi au mchokozwa peke yake. Wote mtapoteza na kuumia vile vile.
Kulikuwa na njia nyingine za kusuluhisha migogoro lakini wao waliamua kutumia vita, sasa huruma za nini?
Huku nawapongeza Israel kama ninavyowapongeza Ukraine, haya mataifa mawili yana jitetea. Ila Hama na Russia shauri yao.
Naona unatafsiri hii vita hii kama ya Wakristo na WaislamuPole mtapigwa sana na mnaendelea pigwa na uislamu wenu
Katika mtu ambaye Israel anamtamani ni Iran ndiye sponsor wa magaidiIran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.
Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.
Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?
Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?
Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
Mkwara gani acha unafikiIran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka kwenda Gaza. Kisha wote wajipange upya. Yasije yakawa makubwa, maana madogo yana nafuu.
Kwamba Blinken aliyekuwa kadai wataiunga Israel kwa lolote, inabidi Sasa kuyameza matapishi yake.
Hali ya uwanja imebadilika, gia lazima kubadilika. Nani anataka kufa?
Kwa hakika hii ni kwa mkwara tu wa Iran sembuse ingekuwa makombora mawili matatu ya maana? Mbona manduli hawa wanapigika? Mbona mwisho wa uvamizi wa Israel ulikuwa uwe huu?
Waarabu kwa ujinga wao kutotambua uwezo mkubwa wa nguvu ya idadi ya watu wao, ni tatizo kubwa zaidi kuliko la Israel kwa uvamizi.
Katika mtu ambaye Israel anamtamani ni Iran ndiye sponsor wa magaidi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwani kukataa upande ni dhambi? sitaki kumuonea huruma HAMAS, hawa ni wapalestina, tena wanaongoza asilimia nyingi ya uwakilishi kuliko chama cha Fatah, na PLO. Siwatenganishi na Wapalestina kwasababu ni vigumu kumjua Hamas nani, Fatah, au PLO hasa wakati huu.Umesema vyema ndugu. Kwamba wewe ni shabiki kama wa Simba au Yanga. Kwako maisha ya thamani ni kwako tu, si ya mpalestina, mwisraeli au awaye yote. Ya kuwa wewe ni mkaanga mbuyu tu, na kuwa kwa hilo unajivuna.
Uzi huu unakuhusu mkuu:
Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM
Huyu ndugu alikuangazia vyema:
View attachment 2786136
Kwani kukataa upande ni dhambi? sitaki kumuonea huruma HAMAS, hawa ni wapalestina, tena wanaongoza asilimia nyingi ya uwakilishi kuliko chama cha Fatah, na PLO. Siwatenganishi na Wapalestina kwasababu ni vigumu kumjua Hamas nani, Fatah, au PLO hasa wakati huu.
Waliichokoza Israel wacha wapigwe tu na ujinga wao. Sasa wewe unataka mimi nianze kuwahurumia SITAKI. Wafe tu nami siku yangu nitakufa. Unavyodhani wewe kwamba ningewaonea huruma wapalestina ndio ningekuwa na mchango kwa Taifa langu?
Hunifahamu, sikufahamu. Mchango wangu kwa familia yangu unatosha, ingawa mchango wangu kwa taifa langu ni mkubwa sana. Huyo Dr.Ngwale kuli pembeni ya Magufuli, angekueleza vizuri mchango wangu kwa taifa hili. Usidhani tunaandika hapa hatujielewi.
kweli kaka kihaki kabisa Palestines wana haki ya kuwa Nchi Kamili. na huu mgogoro ili uishe ni mpaka hawa wakubwa wanaofaidika na hii migogoro waamue kuumaliza.. Mgogoro wa Israel na wapalestine DUnia haijaamua umalizikie ( nikisema Dunia namaanisha wakubwa wanaendesha Dunia ( sio sie tunaopiga kelelel za haki na kuandamana maana hawatusikilizi)Nimekusoma mkuu. Miye naliangalia tokea mlengo was haki. Ngoja tuone tuombeane uzima na vita hii iishe. Wameshakufa watu wengi mno.
hawana cha kufanya wanapoteza mudaMchokozi ni mwizi mlowezi mwisraeli:
View attachment 2786884
View attachment 2786885
Kulikoni makasiriko ndugu?
Nani amehitaji kukufahamu?
Hoja haipingwi kwa rungu!
Dr. au Prof. Ngware ana husika vipi hapa? Familia nazo?
Hayo si ndiyo yale mambo yetu ya kuishiwa na hoja kujaza hapo makasiriko?
Kazi kweli kweli.
imhotep nduguyo huyo:
Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM
Kadi ya kijani kwake tafahali.
hawana cha kufanya wanapoteza muda