Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Hey habarini nyote,

Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote.

Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza kutoona ukichaa ndani ya huo mkataba.

Nawaonya police tuko makini wachunge ulimi

Shukrani.
 
Watu mna mkwala

Ngoja tuone hatua mkatayochukua

Ova
 
Back
Top Bottom