Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu

Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, aliyefariki nchini Afrika Kusini mnamo Juni 2025 lakini Wananchi wanata azikwe huko huko.. Mwaka sasa hajazikwa.. Serikali inapambana aletwe Zambia ila inahonga Mwamba. Ndivyo siku Samia akifa itakuwa. Na hana miaka mingi hapa duniani.. Manake anakonda kila siku.. Ukute ana kansa.
Screenshot_20260530_173146_ChatGPT.jpg

Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..

Walijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.
IMG_1790.jpeg

Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania nchini Thabit Kombo(Mzanzibari) akiwa na Brian J. Mast, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani. Alioomba msamaha eti Hawataua watu tena(Never again)

Sasa anasema kuliko alichochuma tangu akiwa binti, haweza kukubali kipotee kisa miezi 38 alobakiza madarakani..

Watu wa Airport kaeni Macho mia mia..

Sasa ni Mshike Mshike ndege tunduni
 
Sasa hapa ndo TISS inatakiwa ifanye kazi.. Kama habari ni za kweli, ihakikishe Samia hakimbilii Oman akatuachia moto wa Marekani. Atulie tuuote wote..

Kweli nimeamini Marekani Kidume.

Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..

Walijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.

Sasa anasema kuliko alichochuma tangu akiwa binti, haweza kukubali kipotee kisa miezi 38 alobakiza madarakani..

Watu wa Airport kaeni Macho mia mia..

Sasa ni Mshike Mshike ndege tunduni
Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..😂
 
Yale yale, jeshi lipo nyuma yenu..watu sasaiv wanaoza

Umetoka kutoa michoro ya ikulu muda si mrefu...
Una akili sana na unajua mambo mengi kuhusu taifa hili, na wa airport wamekusikia sasaiv watafanyia kazi, trump ameisha kusikia
Endelea kabisa na uko sawa

Lakini kumbuka:

"Mtu ambaye hajaoa, akiwa amelala huwa anajikunja kama korosho"
 
Back
Top Bottom