Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, aliyefariki nchini Afrika Kusini mnamo Juni 2025 lakini Wananchi wanata azikwe huko huko.. Mwaka sasa hajazikwa.. Serikali inapambana aletwe Zambia ila inahonga Mwamba. Ndivyo siku Samia akifa itakuwa. Na hana miaka mingi hapa duniani.. Manake anakonda kila siku.. Ukute ana kansa.
View attachment 3597683
Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..
Walijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.
View attachment 3597685
Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania nchini Thabit Kombo(Mzanzibari) akiwa na Brian J. Mast, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani. Alioomba msamaha eti Hawataua watu tena(Never again)
Sasa anasema kuliko alichochuma tangu akiwa binti, haweza kukubali kipotee kisa miezi 38 alobakiza madarakani..
Watu wa Airport kaeni Macho mia mia..
Sasa ni Mshike Mshike ndege tunduni