ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 262
- 115
Mmmmh!
Ifikie mara ngapi?Itafikia kweli
Bila vitendoIfikie mara ngapi?
Wewe ni Tomaso?Bila vitendo
HaswaaWewe ni Tomaso?
Yule hana akili, ana mdomo huku ndani tu ila nje hana uwezoWalijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.🤣
Sisi tunacheka tu,kwa ujinga wenu,dawa moto ni moto wahenga walisema
Naona unatetea ugali wako. Ulifiwa 29 Oktoba 2025 Mkuu?watanzania msiwe wajinga amani ya nchi sio kitu cha mchezo
naamin maneno yako mana maprofesa wanaokataa walivyoandika wenyewe leo tusemaje juuyaoWanamuamini anajuwa English kwa vile alisomea Ujerumani, na kujifanya kuigiza lafudhi ya Mahigah almarhuum waliofagiliwa na kina Kikwete.
Kwamba hii habari uliyoleta ninya kweli?Ifikie mara ngapi?
Hata Mimi ni TamasoWewe ni Tomaso?
Sasa ndio utumie picha za AI ?Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, aliyefariki nchini Afrika Kusini mnamo Juni 2025 lakini Wananchi wanata azikwe huko huko.. Mwaka sasa hajazikwa.. Serikali inapambana aletwe Zambia ila inahonga Mwamba. Ndivyo siku Samia akifa itakuwa. Na hana miaka mingi hapa duniani.. Manake anakonda kila siku.. Ukute ana kansa.
View attachment 3597683
Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..
Walijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.
View attachment 3597685
Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania nchini Thabit Kombo(Mzanzibari) akiwa na Brian J. Mast, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani. Alioomba msamaha eti Hawataua watu tena(Never again)
Sasa anasema kuliko alichochuma tangu akiwa binti, haweza kukubali kipotee kisa miezi 38 alobakiza madarakani..
Watu wa Airport kaeni Macho mia mia..
Sasa ni Mshike Mshike ndege tunduni
Mkikiwasha mtawashwa.Hakutakuwa na uchaguzi 2030
No reforms No election
TUTAKIWASHA!
Poa tu tutawashana hawa mapimbi mbogamboga lazima tueshimiane!Mkikiwasha mtawashwa.