KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwani mm nimekataa?Huo mchoro una uhakika haujulikan inside out na wale jamaa walio panda juu ya paa la ikulu wakati wa kikwete? Au ulikuwa bado unakula kichuri huko kwenu?
mimecheka kwa sauti sana kuskia hiyo mshike mshike ndege tunduni...😃😃😃😃😃😃😃Huo mchoro una uhakika haujulikan inside out na wale jamaa walio panda juu ya paa la ikulu wakati wa kikwete? Au ulikuwa bado unakula kichuri huko kwenu?
😄😄😄😄 nimecheka kwa sauti sana kuskia hiyo mshike mshike ndege tunduniKwani mm nimekataa?
Ndyo maana nimemsifia kuwa ana akili sana hadi zinamwagikia!
Au ulitaka niseme yeye ni mjinga?
Mm nimemsifia alivyo na IQ kubwa'
lakini "pamoja na paka kuua nyoka wakali, hata siku moja hawezi kuwa chui"
Lakini Germany sio English speaking country. English ni medium of instruction kama ilivyo kwenye vyuo vyetu vya Bongo!Wanamuamini anajuwa English kwa vile alisomea Ujerumani, na kujifanya kuigiza lafudhi ya Mahigah almarhuum waliofagiliwa na kina Kikwete.
The Bible say , if you kill by the sword you die by itwatanzania msiwe wajinga amani ya nchi sio kitu cha mchezo
And your point was????Lakini Germany sio English speaking country. English ni medium of instruction kama ilivyo kwenye vyuo vyetu vya Bongo!
How did his going to school in Germany make him more English proficient than he would otherwise have been?And your point was????
Hivi zinakutosha kweli kichwani?Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, aliyefariki nchini Afrika Kusini mnamo Juni 2025 lakini Wananchi wanata azikwe huko huko.. Mwaka sasa hajazikwa.. Serikali inapambana aletwe Zambia ila inahonga Mwamba. Ndivyo siku Samia akifa itakuwa. Na hana miaka mingi hapa duniani.. Manake anakonda kila siku.. Ukute ana kansa.
View attachment 3597683
Inasemekana Kumbe tangu Samia aseme Trump who are you, kivumbi kinatimka chini kwa chini hadi Waziri wa Mambo ya Nje alishaenda kuomba Msamaha huku akipeleka Picha za kuchora na Album ya Mwalimu Nyerere..
Walijaribu kimtuma mzee wa Majalalani Palamagamba Kabudi lalini bado maji yamazidi Unga.
View attachment 3597685
Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania nchini Thabit Kombo(Mzanzibari) akiwa na Brian J. Mast, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani. Alioomba msamaha eti Hawataua watu tena(Never again)
Sasa anasema kuliko alichochuma tangu akiwa binti, haweza kukubali kipotee kisa miezi 38 alobakiza madarakani..
Watu wa Airport kaeni Macho mia mia..
Sasa ni Mshike Mshike ndege tunduni
Hakutakuwa na uchaguzi 2030CHADEMA WAJINGA SANA JIANDAENI NA UCHAGUZI WA 2030 ACHENI POROJO ZA KIJINGA MIDA INAKWENDA KWA KASI SANA....
Sisi tunacheka tu,kwa ujinga wenu,dawa moto ni moto wahenga walisema💥💥💥Hakutakuwa na uchaguzi 2030
No reforms No election
TUTAKIWASHA!
Wanamuogopa eti kisa kujielza kwa confidence na jukaza mimacho..yule ni wa majalalani tuuu..na kwake atarudi jalalaniHivi kabudi ni wa kuokoa ccm wakati hata haijui?