Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Anashindwaa au ananyang'anywa ?!CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Unajisikiaje unapoenda nje ya mada..??CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Mkuu upo sawa kabisa.Ndo maana mambo mengi yanatakiwa yawekwe kwenye katiba ili kuondoa hili la utashi wa mtu mmoja kuendesha nchi....
Hahahahaha eti sera mbovu mmesahau kama mlitumia jeshi kumteka kiongoziwa tume baada ya kushindwa vibayaCUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Inaongeza mpasuko upiWakati Seifu anakataa mkono wa Dr Shein mlifurahi mkasema ni Jambo zuri, Hamkujua ile inaongeza mpasuko. Leo yanatokea haya mnasema shein anaroho mbaya. Mungu anasema Patana kwanza na Nduguyo alafu peleka maombi yako. Kwa hali ilivyo ata muombe vip, mabaya ningumu kumkuta shein kwakua Seifu alikataa kupokea mkono wa Amani Labda mtumie mitishamba.
Kukataa mkono wa mtu haipo kwenye katiba kwamba amevunja sheria fulani.... posho ni ishu ya kikatiba... kama hayo yametokea maana yake katiba imevunja... na hayo ndo matokeo ya kuendesha nchi kwa utashi wa mtu mmoja... anachoona leo kinafaa anafanya...Wakati Seifu anakataa mkono wa Dr Shein mlifurahi mkasema ni Jambo zuri, Hamkujua ile inaongeza mpasuko. Leo yanatokea haya mnasema shein anaroho mbaya. Mungu anasema Patana kwanza na Nduguyo alafu peleka maombi yako. Kwa hali ilivyo ata muombe vip, mabaya ningumu kumkuta shein kwakua Seifu alikataa kupokea mkono wa Amani Labda mtumie mitishamba.
Unajua tofauti ya kushindwa, au kunyimwa???CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
jiite mchochezi mapemaaTunaiga utawala wa chi gani?[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Sahihi kabisahivi mnakumbuka yule mwl mbabe alogombana na mwanafunzi wake mwanafunzi kwa asira kampiga mwl bonge la jiwe ubavu ndo matatizo ya sasa! wagonjwa tufarijiane mambo ya kunyanyasa mwenzio ukijua ni siri tuache! tucheze na mengine ila sio ugonjwa