Mkwara wa Rais Magufuli, Maalim Seif anyimwa posho ya matibabu!

Hii headline ya gazeti nayo imekaa "kishambenga" sana; Maalimu ameugwaya mkwara wa JPM!
 

Kukataa kumpa mtu mkono wako na kuvunja katiba ya Nchi kuna uhusiano gani?!
 
Stahiki za Maalim Seif zimeainishwa kwenye vitabu vya sheria za nchi ya Zanzibar. Na kamwe halipwi kwa hiyari ya Magufuli au Dr. Shein, ni pesa za kodi ya wazanzibar.
Zanzibar ni nchi au sio nchi??
 
Pigeni mkwara na kuilipa IPTL billion 320 msionee dagaa tu
 
Shein hana roho mbaya.anafundishwa roho mbaya.
 
CUF wanatafutage mtu mwingine Wa kugombea 2020 huyu Sera zake mbovu !! haiwezekani Mara zote tano unashindwa halafu bado unang'angania tu!! INA maana ndani ya cuf kuna mtu mmoja tu!!
Na yeye yatafutwa tu kupitia TVZ.
 
Huku ni kulazimishana kuishi maisha ya kishetani wakati wengine imani zetu zimetulazimisha kumlaani shetani kwa kila pumzi tuliyojaaliwa hapa duniani.
 
Alivyokuwa anawatukana wakubwa alidhani mchezo magufuli siyo wa kuchezewa hata chembe atakaa tu.

Kwa vile tumekubali watawala wavunje sheria hata kunyima stahiki za viongozi waliopita,basi ujue kama Taifa tunakazi kubwa ya kuvuka daraja.Na kitu kimoja kikubwa kinaitwa sheria ya dhahabu inasema'USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO" maana kuna siku utakuja tendwa usijue sababu.Na ukumbuke kila siku MKUKI MTAMU KWA NGURUWE NA KWA BINADAMU MCHUNGU.Leo furahia anachotendewa Maalim Seif kesho yako huwezi ijua.
 
This is not fair,Mungu anawaona!Seif kumchunia Shein sio jambo la ajabu coz watu hawa wana tatizo kubwa,badala ya kutafuta suluhu kama alivyofanya JK unaongeza mpasuko alafu unasubiri Zanzibar

Kwao DINI na IMANI yao inaruhusu ADUI yako siyo lazima umpe mkono wako.Leo tunaenda kuiga imani ya watu tusiyoijua ati JINO kwa JINO.Je tutafika?
 
Tuache kushabikia mambo ya kijinga!!
 
Sheria inasema uta kata mkono unao kulisha kabla huja weka tonge mdomoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…