Mkuu una hakika?Watz mna majibu marahisi sana,ndio maana hata wanasiasa wenu wanaonega watakacho na kuitwa kweli,hivyo hivyo wasomi waliowaandikia vitabu ni hivyo hivyo. Abushiri ,Mkwawa,Kinjekitile walikuwa na dini mkuu...na majina mazuri ya kiarabu.iman za0 zlikuwa za miungu
Dini ganiMkuu una hakika?Watz mna majibu marahisi sana,ndio maana hata wanasiasa wenu wanaonega watakacho na kuitwa kweli,hivyo hivyo wasomi waliowaandikia vitabu ni hivyo hivyo. Abushiri ,Mkwawa,Kinjekitile walikuwa na dini mkuu...na majina mazuri ya kiarabu.
Unalo lako sio bureDini gani
hapana, unatakiwa unieleweshe kijana hli nielewe.Unalo lako sio bure
"hembu" ni sawa na "hebu"?Hembu weka ushahidi na kujiongeza kidogo kwa kuweka maelezo yenye kichwa.
Kiswahili kina mengi hayajapata muafaka na hivyo ni mtumiaji kuamua tumia apendalo. Hujawahi MSIKIA MWINYI NA 'NAKUPONGEZENI' na "NAWAPONGEZENI"? In fact hilo si muhimu km unajua unachotaka changia.Kwa vile huna cha maana ndio maana unapoteza sana muda kwa side issues.Ukitoka hapo ndio nitolee hurudi tena."hembu" ni sawa na "hebu"?
JFSi nasikia watanzania mkisikia majina ya mwisho ni rahisi kujua kabila?Na mengine kujua dini? Si ndio sera ya nchi usiulize ila jua kwa kichwa.
PortCities BristolWaafika hawakuchukuliwa utumwa kwenda ulaya bali marekani wakati huo inaitwa virgin land ambako shughuli za kilimo zilishamili. Katika mataifa ya ulaya ni ufaransa pekee ambako waafrika walikuwa wanaingia kirahisi(zingatia mfamo wao wa ukoloni) ndio maana nchi nyingi za ulaya hazina waafrika wengi isipokuwa ufaransa. Wazungu walinunua watumwa toka kwa waarabu na waarabu walinunua toka kwa machifu, watemi na masultani. Sasa aliyetusaliti hapo ni nani? Hv ukitendewa ubaya na mtu anayekufahamu na mgeni toka mbali wapi utajisikia vibaya zaidi? Tusiwatetee hawa wachumia tumbo wa kipindi hicho
Kama hujui ni bora ukae kimya. Utumwa wa Transatlantic ulifanywa na missionaries na wafanya biashara wa nchi za,magharibi. Ulaya hawakuwako waafrika wengi sababu. Wazungu walshagawana mashamba katika visiwa vya Carribean, Pacific n East and West Indies. Zikiwemo America ya Kusini hasa Brazil. Marekani haikuitwapo Virgin land ikiitwa New Foundland.Kwani lazima wawepo upande huo ndio washiriki utumwa.Waliocross Atlantic walikwenda ktk makazi mapya bara America(Kaskazini, caribean, and south amerika).Point yako nini mkuu?
Utakuwa kichaa km wengine,wala sina haja ya kusoma ulichoandika au kunukuu.Nikisoma juu na nikisoma chini.Ni wazi umekuja kuwaokoa waarabu ukidhani unaokoa dini. Km unamtetea sultani itabidi utueleze bagamoyo na zenj yale masoko yalikuwa yanauza nini tende? Logically nikipoteza muda na wewe ni km wengine ambao huja,na kupoteza muda kisha wanapotea bila kuaga. Umingia km mjuaji ila ulichokimbilia kinakuacha uchi na kukuonyesha wewe ni msomi wa pose na sauti kubwa huko uswazi.Ni aina ya watu wanaochagua jukwaa la watu wako wenye fikra na matamanio kama yako.Kama hujui ni bora ukae kimya. Utumwa wa Transatlantic ulifanywa na missionaries na wafanya biashara wa nchi za,magharibi. Ulaya hawakuwako waafrika wengi sababu. Wazungu walshagawana mashamba katika visiwa vya Carribean, Pacific n East and West Indies. Zikiwemo America ya Kusini hasa Brazil. Marekani haikuitwapo Virgin land ikiitwa New Foundland.
Bristol merchant Cranfield Becher's notebook shows how slaves were treated | Daily Mail Online
Soma habari za hii kampuni ya uko wa Ufalme wa UK:
The Royal Africa Company iliasisiwa mwaka 1660
Hawa walikuwa na monopoly ya kuingiza na kuuza watumwa nchini Uingereza na hasa Bristol kiasi kwamba katika karne ya 13 kukawa na malalamiko makubwa kutoka kwa Umoja wa Wafanya Biashara uloitwa Society of Merchant Ventures. Malalamiko ya kwanini wapewe hao mamlaka pekee ya hiyo biashara.
Sultan wa Oman aliingia East Cost of Africa katika 1729 na kuwamaliza wareno walokuwa wakitesa, kuwauwa na kuwanyanyasa wenyeji wa Afrika Mashariki kuanzia Mombasa mpaka Msumbiji.
Kwahiyo kwa kifupi unakubaliana na Mohammed Said kwamba historia tunayofundishwa mashuleni ina mapungufu sana. Yaani ukweli mwingi umefichwa.Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:
-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.
-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.
-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.
Umesoma shule kweli?Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:
-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.
-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.
-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.
hujaeleweka nenda ktk point unataka nini upeweNingependa jua tena ushujaa wa hawa tunaoaambiwa ni mashujaa.Hata leo nimemsikia Kingunge akiwaongelea.Bahati nzuri kasema nilichowahi sena hapa...ALIWAPIGA WAJERUMANI WAKAKIMBILIA DAR,WAKARUDI NDIO WAKAWASHINDA...Mzee km alikuwa hajui anachoongea,Mkwawa na wenzie waliwapiga wamisionary waliojaribu zuia biashara ya utumwa,wamaissionary walipokwenda shitaki ktk serikali ya kikoloni wakaja askari na kuwashinda hawa wauza watumwa?Swali nililopenda uliza KWANINI KINJE NA MKWAWA HAWAKUITWA MAJINA YAO YA KIGENI NA utangulizi wao?
bible ndio imehalalisha utumwa maana hata kule America wakitumia hiyo ili kuwalimisha mashambani mwaoJamaa walikuwa na iman nyuma yao ambayo ilihallaisha hilo jambo.Ndio maana badala ya kuona aibu na huruma na kujitoa waliamua pigana vita ili kulinda biashara hiyo..Ndio iliwaleta wayao, wamanyema, na wengine pwani ya Africa Mashariki.
Wamalawi wanatuchukia sana kwa vile wanakumbuka babu zao walivyouzwa na wayao,na makabila mengine toka Tanzania.
Mkuu umenena kweli Arabuni mbona mwafrika bado mtumwa huzioni video za mateso ya wahudumu wa ndani?Labda tusaidiane kidogo kuweka rekodi sawa,kwanza na declare sina interest na dini yoyote zilizoletwa na wageni, haya turudi kwenye mada sasa, ni hivi katika suala la biashara ya utumwa,uislamu au dini ya kiislamu imehararishwa hadi kwenye kitabu chao,na waliochangia kukomesha biashara ya utumwa na wamissionari wa kikristo,waislamu hawakupendezwa na hili na pamoja na kwamba ilishapigwa marufuku waarabu na waarabu weusi waliendelea na biashara hii kinyemela...utumwa umemdhalilisha sana mtu mweusi kiasi kwamba leo hii tuko hivi kwa sababu ya utumwa pamoja na kwamba kuna sababu zingine zimechangia.
Walikuwa hawataki kutawaliwa na msalaba.Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:
-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.
-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.
-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.
Sakata la House Girl Aliyefungiwa Ndani na Bosi Wake Jijini Dar kwa Miaka Mitatu na Kupewa Mateso Makali | UDAKU SPECIAL BLOGMkuu umenena kweli Arabuni mbona mwafrika bado mtumwa huzioni video za mateso ya wahudumu wa ndani?
Ulaya pamoja na kuitwa makafir hata mtumishi wa ndani analindwa na katiba.