inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hawajui,yaani tunachezeshwa tu tangu lyatonga 1995 mpaka keshosiku zote hamjui kama ni muajiliwa wa ile Idara..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui,yaani tunachezeshwa tu tangu lyatonga 1995 mpaka keshosiku zote hamjui kama ni muajiliwa wa ile Idara..
HakkaWanakuja kutoa muongozo ...uwe na subira...
Kweli lisemwalo lipo
Vipi Covid mmewaondoa Bungeni?Naona umeanza tena ule ujinga wako, unasoma upepo then unajidai una inside information, kisha unatunga maneno yako ili kuwadanganya wajinga, ndio maana huwa nakudharau, unajitengenezea heshima kisha unaiharibu mwenyewe.
#idiot
Huyo jamaa sio nwenzetu tena, hana nia ya kusaidia watu zaidi ya kutuhadaa tu.Naona unajidlfanya kucheza mind game, lakini kama ni Mbowe ndio anatumika kwenye hilo, basi watu tumeshamstukia na kumpotezea. Ni muda mfupi tutaanza kumkana hadharani. Kama mliamini anasikilizwa kiasi cha kuagiza chochote mmeliwa. Alifanikiwa kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais, ila kosa lile halitakaa lirudiwe.
Wacha hizi ramli zako bana, am above this shit of yourz man.Vipi Covid mmewaondoa Bungeni?
Ila wewe huwa humpendi Mbowe aisee. Yaani propaganda kidogo ya mlumumba umeshaingia King.
Chama ni Cha mtei,baba mkwe wa mbowe,na mbowe ni msimamizi mkuu wa shughuli za chama,we bwata tu
Kwani tumewapeleka sisi? Kumbuka kodi za Watanzania wote ndiyo zinawalipa hao vicheche 19 wasiokuwa na chama BungeniVipi Covid mmewaondoa Bungeni?
Hata akiwa muajiriwa,sidhani kama inaweza kuathiri harakati.siku zote hamjui kama ni muajiliwa wa ile Idara.
Chama Cha nani!?Hiyo propaganda mmelishana, na kwa bahati mbaya mnadhani wote huwa tunaamini propaganda za kizee.