Sio TISS ya bongo Sasa, hizo ni TISS za nchi zilizoendelea huku Tz nawajua TISS wengi tu hata kutumia Ms Excel changamoto ndio wataweza kuwa deep cover??
Kingine TISS wapo Kila taasisi (At Least informants) Hilo linajulikana ila kazi Yao ni kukusanya taarifa nani kakwambia kwenye vyama TISS wapo Ili kuwa wenyeviti?? Makene is more likely to be TISS than Mbowe!! Hauwezi ukaweka agent kwenye nafasi iliyo obvious na kwenye spotlight!! Unadhani hao wadhamini wa CDU hawamfanyii Mbowe surveillance?
Tatizo lenu mnaangalia movie nyingi mnadhani ndio jinsi mambo yanafanya kazi kwenye failed govt kama ya CCM. Wangekua na akili hizo gesi tungetapeliwa? Makinikia yangeibwa? TISS Gani wanashindwa kupredict kupungua kwa mvua? Hawajui Nishati ni strategic?
Acheni kuwakuza, they're average minds hawana akili hiyo ya kuweka mwenyekiti Chadema.