Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu zitto junior, itakubidi umtafute Mkuu Jasusi atupige tena darasa humu jinsi the operative wanavyo recruit.Why unapotosha?!Sasa Mbowe akiwa TISS why asipewe ubunge wa bwerere au kwanini Chadema isife all those days? If at all ni government asset na wanaweza order akivunje.
Msipende kuikuza TISS Haina akili kiasi hiki ndio maana walishindwa kuiba kura kijanja Hadi ikabidi wapore masanduku wazi wazi.
Kama wangekua intelligent ufisadi ungekua unatokea Kila kona?! Hayo mafisadi ya CCM ndio mengi yamejazwa TISS unategemea yana uzalendo au akili hizo?
Kuna 3 types ya recruitment,
1. Direct recruitment, unakuwa spotted toka uko shuleni, unakuwa channelled wanakutaka wapi, unapelekwa kisha wanakuibukia na kukuibua.
2. Wajibu of duty, kutokana na kuwajibika kwenye nafasi fulani fulani, unajikuta unakuwa recruited as tiss utake usitake, mfano kwenye kila taasisi za fedha, kuna kitengo cha FIU, wale ni ma tiss, hicho kitengo kikibaini dirty money or money laundering, hakiwezi kuripoti direct BOT bali kupitia kwa bank manager, hivyo mameneja wote wa benji zote ni ma tiss kwa mujibu wa majukumu yao, kama walivyo ma meneja wa makampuni yote ya simu ndio wanao ruhusu tapping.
3. Kundi la mwisho ni ma informers, hawa wanakuwa recruited from their normal natural habitat, kama ni malaya, anakuwa recruited na kuendelea na umalaya wake, kama ni jambazi, anakuwa recruited na kuendelea na ujambazi wake!, kama ni siasa anakuwa recruited na kuendelea na kazi zake, ila unakuwa unatumiwa, hivyo unaweza kukuta wote mko pamoja bila kujuana kwasababu informers wanakuwa recruited individuals hadi wauza karanga, ma she shiners hadi mateja. Mabosi wengi ni ma tiss huku ma sectaries wao nao ma tiss huku ma messenger ni ma tiss hadi ma cleaners wale waosha vyoo!.
With naked eyes, you can't tell who is tiss and who is not, lakini sisi tuliojaaliwa macho ya rohoni tukiwaona tuu tiss, tunawajua, mfano mimi kutokana na kuzaliwa kwa baba na Mama wa idara, nimejikuta nimezaliwa with inborn intelligence, nilipaswa niwe tiss, ila basi tuu, lakini hii tiss yetu ya siku hizi imejaa mijitu mijinga na migoigoi ajabu!, hata nilipo wapa tip ya risks ambazo Blaza alikuwa anawindwa, mitisi mijinga haikuweza kum protects!, mwisho wa siku wakamfikia, wakala kichwa!.
Angalia mabandiko haya ya warnings ni ya lini anzia hapa US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? kisha,
Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? kisha Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?. Hawa ma tisi wetu, ma tiss wa ukweli ni wachache, walio wengi ni hakuna kitu ni ma empty shells!. Yaani mpaka leo wameshindwa kuwabaini wasiojulikana!, tumejitolea kuwasaidia, hawa saidiki!. WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?.
Hivyo ukilisoma bandiko hili kuhusu ma tisi wa Chadema, utaelewa! CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Chadema enzi za Dr. Slaa ilisumbua ndipo ukatafutwa udhaifu wa dr, ukajulikana, ikachukuliwa ndoano ikawekwa pande la mnofu, jamaa si akafakamia kumeza pande lote la mnofu kumbe kazama kwenye ndoana!, akacholopolewa mzima mzima kama kuvua samaki kwa ndoano!.
Baada tuu ya Lowassa kutua Chadema, kuna kitu nilikisema humu, Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! haukupita muda mtu akatangaza kushindia mihogo!, ila kukodi ukumbi wa press conference Serena Hotel na kulipia live ya masaa 3, vituo 4 vya TV!. Kuna kitu nikakisema Ana kwa ana na Dr. Mwakyembe: Awashangaa Waliomuona yeye tu, Lakini wengine hawakuwaona! ukiisha wajua ma tisi!, hawakupi taabu kabisa!.
P