Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

Tatizo wengi wenu huku hamjui matukio katika ulimwengu wa kiroho. Mtachunguza sana na kuhisihisi vitu, na kupoteza muda mwingi bure lakini ukweli wa matukio kamwe hamtaweza kujua mpaka mjifunze kuangalia matukio katika ulimwengu wa kiroho (halisi).
 
Magufuli alikua na track record kubwa siku anatangazwa wapinzani wote walisema watampa ya Urais ila ubunge Chadema!! Hata humo Chadema ni Zitto peke yake alikua hamkubali JPM ila the rest walimuona ni tofauti na CCM wengine!!

Ile ilikua knockout tayari..... So Mimi siwezi mlaumu Mbowe kabisa kwa move Ile, ilihitajika branding kubwa na manpower Ili kuzima track record yake. Na tukiwa wakweli Lowassa alihamisha momentum yote upinzani na alifanikiwa kumpoteza kabisa JPM sema ndio vile Urais haupingwi mahakamani so hakuna mahali mtaenda prove mmeibiwa kura.
 
Sio TISS ya bongo Sasa, hizo ni TISS za nchi zilizoendelea huku Tz nawajua TISS wengi tu hata kutumia Ms Excel changamoto ndio wataweza kuwa deep cover??

Kingine TISS wapo Kila taasisi (At Least informants) Hilo linajulikana ila kazi Yao ni kukusanya taarifa nani kakwambia kwenye vyama TISS wapo Ili kuwa wenyeviti?? Makene is more likely to be TISS than Mbowe!! Hauwezi ukaweka agent kwenye nafasi iliyo obvious na kwenye spotlight!! Unadhani hao wadhamini wa CDU hawamfanyii Mbowe surveillance?

Tatizo lenu mnaangalia movie nyingi mnadhani ndio jinsi mambo yanafanya kazi kwenye failed govt kama ya CCM. Wangekua na akili hizo gesi tungetapeliwa? Makinikia yangeibwa? TISS Gani wanashindwa kupredict kupungua kwa mvua? Hawajui Nishati ni strategic?

Acheni kuwakuza, they're average minds hawana akili hiyo ya kuweka mwenyekiti Chadema.
 
Kwa hiyo ujio wa Lowasa na ukatibu wa Mashinji yalikuwa maamuzi binafsi ya Mbowe na si kamati kuu?
Mashinji kama Ilivyo CCM, Katibu anateuliwa na Mwenyekiti so yes ni maamuzi binafsi ya Mbowe!! Ila baada ya pressure juu ya "outsiders" kupewa nafasi ilibidi wafutwe wote kuanzia Nyalandu, Sumaye, Mwambe, Mashinji na akaweka wafia chama kama Kigaila, Mnyika, n.k

Kuhusu Lowassa obviously Mwenyekiti alileta suala kwa kamati kuu (Dr Slaa akiwemo) ila mwisho wa siku wakapiga kura na kukubali kumkaribisha. So hakumleta kinyemela ila kamati kuu ndio Iliafikiana BUT sababu aliondoka ndio wakampiga biti kuwa hawataki proposal ya vile no wonder Nyalandu nor Membe wangepewa nafasi ya kugombea Urais.

We learn from mistakes, so does Mbowe.
 
Mbona tulipokuwa tunawambia kuchemka kwenu juu ya ujio wa Lowasa na Mashinji hao wanakamati kuu ndio walikuwa wa kwanza kutoa mapovu?

Nitajie mwanakamati kuu ambae hakuridhia ujio wa Lowasa na kuteuliwa kwa Mashinji?
Mnyika (Aligoma hata kugombea Ubunge)
Dr Slaa (Akajiuzulu Ukatibu Mkuu)
Lissu (Hakuwepo kabisa siku ya kupewa fomu)

Chadema haikuchemka ila tatizo tulitumia short term strategy ambapo kwa Lowassa ilifanikiwa na matokeo yalionyesha Hilo.

Kwa mashinji alidhani akimchukua Msukuma basi atamuandaa kuwa mgombea 2020 Ili amchallenge JPM na kumaintain influence Kanda ya ziwa. However it backfired hakuwa na ushawishi sio tu Kanda ya ziwa ila hata ndani ya chama.

Hii strategy ilifeli sana na ilikua wazi kabisa kuwa hawakumpenda Mashinji ni vile tu Wana kamati kuu hawawezi mshambulia kwenye media,management haipo hivyo hizo tabia zipo CCM tu mnatukanana majukwaani
 
Wafia chama hawawezi kukuelewa mkuu,cha kushangaza ukisema kijana wana mbinu wafia chama wanakuja kubisha wakati hao kijana wanaamini upinzani si wa kuwabeza
 
We unabisha sana nimekusoma comments nyingi umejaa ubishi hata Kwa mambo ambayo huyaelewi acha kuchanganya TISS na Askari wa kawaida Nakwambia ogopa MTU ambaye hasemi ukiona amejisema huyo siyo TISS ni mfagiaji maeneo ya TISS ana anajua ana Juana na TISS
 
Sasa kijana unajielewa ufahamu wako uko huru hongera mkuu
 
Ndo basi tena kashatafunwa
Inanikumbusha kipindi naishi sicil, italy,, Capo de capone wangu kipindi hicho alikua analisha adui zake kwenye zizi la nguruwe wenye njaa kali,,
Very terrible, yaani haubaki hata mfupa😥
 
Gesi imetapeliwa lini boss wangu? 😂,Makinikia yameibwa wapi?,
Ujue nchi hii iko na majungu mengi sana, usiamini kila kitu,,,
 

Mkuu sina shaka na nisemalo, sio kwamba tu upinzani ungepata kura nyingi, bali hata heshima yake ingeendelea kuwepo bila ujio wa Lowassa. Kwenye hilo la kosa la kumpokea Lowassa wala sibadiliki kaka yangu.
 
Gesi imetapeliwa lini boss wangu? 😂,Makinikia yameibwa wapi?,
Ujue nchi hii iko na majungu mengi sana, usiamini kila kitu,,,
Umesoma muswada wa Mapato ya gesi na mafuta? Wapinzani walikataa Hadi kutolewa bungeni ila CCM wakaupitisha. JPM akaingia akasema ufanyiwe marekebisho makubwa maana ndio yamesababisha "tuibiwe" gesi yetu!!!

Sasa whether it's true or not official narrative ni kwamba rasilimali za nchi hii zimechezewa sana hata taarifa za CAG pia uchunguzi kwenye Tanzanite one pamoja na TEITI zinaeleza kwa ndani. Sasa hayo yote yangewezakana vipi kama TISS Ina akili kama mnavyojinasibu humu?

Kwani TISS hawakuona muswada una makosa? TISS Haina wabunge? Iliruhusu vipi muswada wa kifisadi upite? Eti hao hao ndio mnatuaminisha Wana akili ya kuwachagulia Chadema mwenyekiti?

Thubutu!
 
Sio ubishi hata jukwaa la intelijensia nimeweka mada nyingi sana kuhusu spies na spy rings, dark arts, economic intelligence, media as a tool for intelligence, proxy wars, deep cover agents n.k so naelewa nachosema unless hujawahi nisoma kule.

NI HIVI, Mbowe sio TISS, kwa taarifa tu Ile siku ya Akwilina anauawa waliokua TISS ndani ya Chadema waliondoka few minutes kabla ya mauaji akiwemo yule kiongozi mwandamizi wa Chadema wilaya ya Kinondoni maana walikua na taarifa ya kinachoenda tokea.

Tupunguze ujuaji na kusoma sana between the lines. TISS haipo efficient kiasi hiko unachotaka kupotosha humu. Kama wakishindwa zuia taarifa za JPM kufariki Hadi zikavuja kabla Mzena haijasema kitu unaweza kuwaamini walijua Iko siku Chadema itakua chama kikubwa?? When Mbowe amekua mwenyekiti nani aliijua Chadema? Imefanikiwa ndio mnataka kuchukua credit?
 
Gesi inaibiwaje kabla haijaanza kuzalishwa?,, Jpm alikua na fundamental zake ambazo sio realistic kivile, na kila mtu mwenye uelewa anajua,, hii miradi ya gesi duniani kote huwa inakuwa na starndard zake,, sio mtu anaamka tu asubuhi na kusema wewe chukua aslimia 10,halafu 90 ziwe zangu,,
Mtu hawezi kutoa mtaji wa matrlion, akatoa technology na mitambo halafu utagemee kuchukua 60%,halafu yeye achukue 40%,,
Lazima kuna international standard wataziangalia wakati wanasaini mikataba
 
Unamdanganya nani babu!!?..unauliza Kama idara Wana akili kiasi hicho!!..unacheza kiganjani mwa idara,pata ruzuku toka hazina,Fuga familia lakini utadance according to idara tunes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…