Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tena nakumbuka cocastic alikuwa anaweka kila siku picha ya Gael Bigirimana akiwa kwenye chumba chenye makreti ya bia kwa nia ya kumdhihaki, na pia wenzake walianzisha nyuzi za kutosha tu za kumshutumu kuumwa homa ya ini! Sinhi amekataliwa kucheza Ulaya baada ya kukutwa na ugonjwa wa homa ya ini, nk.Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
Na hapa ni nje ya picha za kumdhalilisha Haji Manara kutokana na ualbino wake, na zile za nyani aliyefanyiwa photoshop na kuwekewa mwiko!!
Ifikie wakati tuache hizi mambo za kusakama wachezaji aisee. Na tukubali tu baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waaanzilishi wakuu wa huu utani wa kuudhi.