Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Kweli kabisa ,ila Simba nao hawana huruma kabisa wakipata kitu cha kuwakera Yangu rejea wiki moja kabla ya kipigo nyuzi zao na picha za Brigmana akiwa kwenye sekta ya kubeba maboksi huku wakimdhihaki japo ya mzungu ni too much.
Tena nakumbuka cocastic alikuwa anaweka kila siku picha ya Gael Bigirimana akiwa kwenye chumba chenye makreti ya bia kwa nia ya kumdhihaki, na pia wenzake walianzisha nyuzi za kutosha tu za kumshutumu kuumwa homa ya ini! Sinhi amekataliwa kucheza Ulaya baada ya kukutwa na ugonjwa wa homa ya ini, nk.

Na hapa ni nje ya picha za kumdhalilisha Haji Manara kutokana na ualbino wake, na zile za nyani aliyefanyiwa photoshop na kuwekewa mwiko!!

Ifikie wakati tuache hizi mambo za kusakama wachezaji aisee. Na tukubali tu baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waaanzilishi wakuu wa huu utani wa kuudhi.
 
Niliwahi kuanzisha Uzi nikimshutumu "MJUAJI" mmoja shabiki wa Simba (siyo Genta) aliyezoea kuweka picha za matikiti akiyahusisha na Manara. Walijitokeza lundo la mashabiki wake wakimsapoti kwa kisingizio cha Manara kukashifu umbo la Mwakalebela.
Jana nimeanzisha Uzi wa kupinga udhalilishaji dhidi ya Dejan hao hao wamejaa kunisapoti huku wakisahau ujinga walioufanya mwezi mmoja uliopita.
Siupendi udhalilishaji popote, iwe Simba, iwe Yanga, iwe Azam.
 
Kweli kabisa mkuu,bora hata Yanga mashabiki humu wanamsukumo wa kukemea lakini Simba wote walikua wanafurahia picha za matusi na dhihaka kwa Yanga wala hawajali kuwa nyingine ni kinyume na maadili yetu .
 
Nilisikitika sana kuona mashabiki wa Simba karibia wote walikua wanasapoti ujinga wa wenzao kutuma picha hata nyingine kinyume na maadili yetu kwa malengo ya kuikashifu Yanga ,lakini kwa Yanga ni tofauti wapo haraka kuwarekebisha mashabiki wenzao na kuwapinga pale wanapovuka mipaka.
 
Tena nakumbuka cocastic alikuwa anaweka kila siku picha ya Gael Bigirimana akiwa kwenye chumba chenye makreti ya bia kwa nia ya kumdhihaki, na pia wenzake walianzisha nyuzi za kutosha tu za kumshutumu kuumwa homa ya ini! Sinhi amekataliwa kucheza Ulaya baada ya kukutwa na ugonjwa wa homa ya ini, nk.

Na hapa ni nje ya picha za kumdhalilisha Haji Manara kutokana na ualbino wake, na zile za nyani aliyefanyiwa photoshop na kuwekewa mwiko!!

Ifikie wakati tuache hizi mambo za kusakama wachezaji aisee. Na tukubali tu baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waaanzilishi wakuu wa huu utani wa kuudhi.
Lete mzunguuuuuu [emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kuanzisha Uzi nikimshutumu "MJUAJI" mmoja shabiki wa Simba (siyo Genta) aliyezoea kuweka picha za matikiti akiyahusisha na Manara. Walijitokeza lundo la mashabiki wake wakimsapoti kwa kisingizio cha Manara kukashifu umbo la Mwakalebela.
Jana nimeanzisha Uzi wa kupinga udhalilishaji dhidi ya Dejan hao hao wamejaa kunisapoti huku wakisahau ujinga walioufanya mwezi mmoja uliopita.
Siupendi udhalilishaji popote, iwe Simba, iwe Yanga, iwe Azam.
Mkuu ......hivi genta kala ban au ...simuoni kusumbua huku
 
Lete mzunguuuuuu
FB_IMG_16605918311142528.jpg
 
Kweli kabisa mkuu,bora hata Yanga mashabiki humu wanamsukumo wa kukemea lakini Simba wote walikua wanafurahia picha za matusi na dhihaka kwa Yanga wala hawajali kuwa nyingine ni kinyume na maadili yetu .
Kutesa kwa zamu[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushabiki unabmambo na msikasirike huo ni utani wa jadi kwahyo hapo habaguliwi mtu watani lazma wataniane
Utani gani kwani aliyekuwa anafanya mazoezi ya viungo siku ile ni yeye peke yake? Huu ni ujinga na ubaguzi usio na maana yoyote.
 
Leo baada ya kuona mzungu wa Simba baada ya kuona anaandamwa sana mtandaoni mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi Ni baadhi ya picha za mzungu wa Simba [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mlete mdhunguuu. (×2) mlete mdhungu (×2)

Tupia picha ulizo nazo na tafsiri yake

Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom