Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Umewahi ishi ulaya sehemu Gani
Mchezaji wetu Simba wewe ana kuhusu nn kule ulaya uliona wapi mane akiitwa mwafrika zaid kuliko jina lake
Juzi hapa kocha itali amesema hataki wachezaji waafrika kwA sababu ya kuja kucheza mashindano ya afrika huku mbona hamkusema ni ubaguzi

Vyombo vya habari huandika mchezaji wa afrika /mwafrika ashinda tuzo ulaya wala hakuna shida

Ko kumuita mtu kwA asili yake ni ubaguzi

Wanathiiiiiiimbaaaaaaaa
 
Leta mzungu [emoji23][emoji23]

Particular (details) mdhungu wa MAKOLO

Uhalisia:: Ni nchimbi mwenye touch za yikpe na mikimbio ya jaja[emoji23]
FB_IMG_16605913881292699.jpg
 
Utani wa hivi katika soka unafanyika dunia nzima labda uanze kushabikia soka jana,au kisa huyo ni mzungu ndani ya ardhi yako ya Tz? acha inferiority complex
Kwahiyo hata ndugu zetu wanaocheza ulaya wanapotupiwaga maganda ya ndizi ni sawa? Ni utani tu?
 
Huu uzi ulitakiwa ufutwe na mleta mada apigwe ban kwa kuandika maneno yenye viashiria vya ubaguzi.
 
Kwahiyo hata ndugu zetu wanaocheza ulaya wanapotupiwaga maganda ya ndizi ni sawa? Ni utani tu?
Mkuu......Nan aliyemtupia ganda la ndizi.....chezaji letu dejan[emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom