Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

damu ya wapinzani waliouwa Tanzania itatafuna hii Tanzania hadi wote tuingie barabarani kupinga hila za CCM
Lakini walevi wengi ni chadema zingitia yule kiongozi wa chadema iringa alilewa akagonga gari la watu akakamatwa na police akasingizia siasa pia hata mwenyekiti wenu ashawahi lewa konyagi Hadi akaangukia mkono
 

Inasikitisha sana ,barabarani kuna madereva wa aina mbalimbali ,nashangaa utamkuta mtembea kwa miguu anatembea upande ambao analipa mgongo gari.
 
"Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: 'Ndani ya hivyo mna dhambi kubwa na manufaa kwa watu, lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake.'…”
(Surah Al-Baqarah, 2:219)
 
Wagogo wamefeli sana walitakiwa na wao wampe kipigo heavy wamuue huyo jamaa ili iwe fundisho kwa vijana wote wanaolewa na kuendesha gari vibaya
 
Dodoma sahv kuna ushamba wa watu kulewa...kupiga mtungi sana
Watu wanaona ujanjaaa na ufahari

Ova
Kulewa ni tatizo la nchi nzima kwa sasa,tena hadi wanawake wameingia kwenye ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…