Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

Kibongobongo anaweza akatoka na akawa njeee .....pesa tu inaongea

Ova
Kesi ishakuwa ya kisiasa hiyo, hatoki ng'oooo, hapo vyombo vya habari kila siku kupiga simu kuuliza
 
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma,
Kumbe Dodoma ofisi za TISS ziko wazi kabisa?!
 
Hapana,
Huyo anafunguliwa kesi ya kuua kwa kukusudia, hio ni murder case,
Picha linaanza anakosa dhamana
Haiwezi kuwa kesi ya mauaji kwa kukusudia hiyo, haja premeditate, ni manslaughter, Ila ni ujinga mtupu
 
Lakini walevi wengi ni chadema zingitia yule kiongozi wa chadema iringa alilewa akagonga gari la watu akakamatwa na police akasingizia siasa pia hata mwenyekiti wenu ashawahi lewa konyagi Hadi akaangukia mkono
Kweli kabisa na wengi wavuta bangi
 
Kesi ishakuwa ya kisiasa hiyo, hatoki ng'oooo, hapo vyombo vya habari kila siku kupiga simu kuuliza
😄 tz hii
Anaweza akaa ndani miezi au mwaka akachomoka

Ova
 
Mwisho wa mwaka huu ajali zimekuwa NYINGI tuwe makini ndugu zangu na tuwe karibu Zaidi na Mungu
 
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa kipondo kizito na kuharibu vibaya gari lake.


=================

Watu wawili inasemekana wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa Jijini Dodoma, baada ya kugongwa mfululizo na gari aina ya RAVA 4 lenye namba za usajili T156 EJJ.

Dereva wa gari hilo anadaiwa kuanza kuwagonga watu hao kuanzia eneo la Makulu Majumba Sita mpaka Makulu Darajani majira ya saa mbili usiku wa Novemba 03, 2024.

Watu walioshuhudia tukio hilo wamesema chanzo chake ni uzembe wa dereva aliyekuwa akiendesha gari hilo huku akidaiwa amelewa.

Chanzo: TBC
Ulevi Noma
 
baada ya kugongwa mfululizo na gari aina ya RAVA 4 lenye namba za usajili T156 EJJ.
Mbali na pombe alilewa namba za gari maana hivi sasa mtu akiwa na E tena nyeusi basi mwenye A kaa mbali ni shida barabarani
 
Back
Top Bottom