Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

Hapana,
Huyo anafunguliwa kesi ya kuua kwa kukusudia, hio ni murder case,
Picha linaanza anakosa dhamana

Kakusudia vipi kwani anawajua hao aliowagonga? Punguzeni mihemko, hamuwezi jua alipatwa na nini!
 
Hao wana leseni ya kuua siku hizi.Yaani tangu upite ule muswada wanaweza kufanya chochote kile.

Kuna mmoja kule Chato miezi 2 iliyopita alimgonga Mtumishi wa Tanesco aliyekuwa kwenye Bodaboda. Yaani Bodaboda iko kwenye right truck wakashtukia wanagongwa na gari iliyokuwa inakuja kasi nyuma yao. Na Wakazi wa kule wanasema mgongaji ni maarufu kwa kuendesha roughly na alishagonga watu kadhaa mwaka jana.
 
Sasa inahusiana nini ya mlevi na ccm? Kwahiyo ccm ndio imemtuma mlevi akawagonge!
Labda Kwa kuwa tumerudi zama zile za unanijua Mimi ni nani.... Matukio mengi ya ajabu ajabu yametokea tangu aingie "Mama"... Na kesi zinaenda tu kimsegasega ... Labda ndio sababu yake.
 
Tuanze kushughulika na aliyempa pombe
 
Sasa inahusiana nini ya mlevi na ccm? Kwahiyo ccm ndio imemtuma mlevi akawagonge!
Huyu bila shaka ni mtu wa ovyo. Hata ajali ambazo kiuhalisia zinahitaji umakini na kujijali ili kuziepuka ye anaisingizia CCM
 
Huku Arusha eneo la Mapambazuko kuna Mwehi jana pia kalewa kagonga Bajaj na kusababisha kifo cha baba wa watu aliyekuwa anarejea nyumbani.
 
Labda hakuna njia ya Watembea kwa miguu

Ova

Waweke sehemu zenye msongoamano wa watu projects za madaraja ya juu ya kuvuka kama la manzese ,buguruni ,kawe bondeni ,kimara ,morocco ,ubungo etc
 

Mlevi hatari sana huyo. sasa anajipanga huko kwa sero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…