Mliambiwa lakini hamkusikia, sasa ni muda wa mavuno ya awali ya kile tulichopanda

Wenzake wanaongea huku wanjipiga vifua, wewe unaongea huku unajipapasa makalio
 
Kwa hyo mkuu kushauriwa tusioe single mother ni kuwabagua wanawake? Ebu elezea hii mkuu .
 
The current problems of youth is not relationship, it's all about their mindsets.
 
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba

bado mambo hayajachanganya

Dunia itakuwa na tafrani.

Sasa yakiwakuteni mnaanza kupiga mayowe.

ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.

Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi,

msioe Wanawake wenye watoto

msioe makabila tofauti

Kwa kudanganywa na maneno ya kisiasa.

Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini.

ni Shetani

Sisi ni waafrika, kuanzia ngozi, nywele mpaka fikra.
 
hizi ni Mvua tuu za rasharasha.

Mliambiwa

huu ndio muda wa kuvuna mlichopanda.

Ninyi mkajiona mnaakili

Tumieni Akili,


Hayo ni matunzo kila mwanaume lazima ayajue.
Vinginevyo vilio havikomi.
Jumbe hizo juu, na anayesoma ayasome Dadavua.....itaendelea

......Wajumbe shiriki
 
Pole sana mkuu..
 
Unaogopa wenye Elimu Mkuu.
Mwanamke ni Mwanamke tuu.😂😂
Chief tafiti zangu zime prove kuwa hawa ndoa nyingi zenye migogoro ya kuchapiwa ni zenye wanawake Ambao independent wenye elimu ya juu...Wanawake wengi wa maofisini wanawapenda na kuwaheshimu mabosi zao kuliko waume zao...hawana fear kabisa when comes to their marriages..
 
[emoji419]
 
Achana naye huyo.
Anatuletea uzungu ndio maana hata mambo madogo yatamshinda.
Vaa majani acha kuvaa nguo basi,nguo zilizoletwa na wazungu tukuone umekataa kabisa kwenda na uzungu unaousema hapa
 
Nilikutegemea.

Najua anayefuata ni wewe Mwenyewe.

itaendelea
Kitaeleweka
 
Hao wenye bikra wanapatikana wapi au unataka tuwatongoze wanafunzi WA form 1 na 2 alafu tufungwe.
Tulizeni vichwa, mtawapata tu. Msibebwe na upepo wa walioharibikiwa wakafanikiwa kuwashawishi kuwa wao ndiyo wamebaki na kwamba eti what matters ni mapenzi. Hizo ni story tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…