Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Miss sophy27 , You are not only a Girl but among the World's real wives 😍😍Muhimu utafute kwaajili ya familia Yako na mumeo afahamu unachofanya
Au unasemaje Robert Heriel ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss sophy27 , You are not only a Girl but among the World's real wives 😍😍Muhimu utafute kwaajili ya familia Yako na mumeo afahamu unachofanya
Ndio nimeshakuambia sasa 😅 😅 😅 , Tulia Bibie usiwe na papara Mwenye ubavu wake atakutafuta ili umpe ubavu wake mjenge FamiliaWee usiniambie😂😂😂
Linaonekana la kutisha sababu linaboostiwa na mitandao.Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.
Hakuna tabia Mbaya Mpya ni kweli. Lakini hapa tunangumzia ongezeko kubwa la kutisha la tabia hiyo
Amiin na iwe kheri inshallah 🙏Ndio nimeshakuambia sasa 😅 😅 😅 , Tulia Bibie usiwe na papara Mwenye ubavu wake atakutafuta ili umpe ubavu wake mjenge Familia
Muhimu utafute kwaajili ya familia Yako na mumeo afahamu unachofanya
Mwanamke anatakiwa asizid hata km anatafuta mume awe ndio msingi wa uchumi wa familia mke awe ni ziadaTatizo Wanawake wengi wakitafuta ndio huwa mwanzo wa migogoro ya Ndoa.
Kutafuta Pesa kusiwe chanzo cha kutotimiza wajibu kama Mama ndani ya nyumba
vp ukimpenda single motherMke yupo mkoa.
Dah wale tuu kama kaamua kuliwa
Ila ndoa inakanuni zake na ukijitahidi kuzofuata hayo mengine hayana nafasi.
Oa mke wa dini yako
Oa mke wa kabila lako
Oa mke anaekuheshimu
Oa mke unayempenda
Mwanamke anatakiwa asizid hata km anatafuta mume awe ndio msingi wa uchumi wa familia mke awe ni ziada
Umeacha kuoa kwenu kule unyaturuni singida ukaenda kuoa mmakonde kisa anakata uno??Mi mke Wangu tatizo katika list yako hapo ni kutomkuta bikra Na kabila tofauti ila nimekaotea kadogo sana under umri.kama kuliwa basis Mara mbili tu...nimeshakapa na ujauzito safi kabisa nakaendesha ninavyotaka
Aisee pole mkuuDaaah mwamba umenigusa sana, nimesafiri kikazi nipo mbali kimkoa nimezinguana na wife kwenye simu ananiambia majira ya jioni nisimtafute kwenye simu na Kama nitakuwa mbishi nitajuta nitakachokisikia(anamaanisha anaenda kuliwa), Nina machungu hayana mfano, mafunzo niliyojia huku hata hayanogi kabisa, nipo nawaza atakavyovuliwa chupi(sjui atavaa shanga au cheni, vyote nimenunulia Mimi) ...aaarrgh!!!
Kwa kweli nikiacha huyu mwanamke, sitakuja kuoa tena maisha yangu yote
Oa anaekuheshimuvp ukimpenda single mother
.......Anaandika Robert Heriel
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba
Hapa juu naona unafurahia sumu zako...yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.
Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi.
msioe Wanawake wenye watoto
ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.
Kwenye uzi huu, amekuwa akiwasuta vijana na Jamii nzima kwa ujumla, pamoja na kwamba ametaja rika fulani, haijalishi kwani hakuna mtu yeyote ambaye hawezi kutia macho kweye mada kama ilivyowakilishwa....Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini.
kile tulichopanda
Tuwe wakweli. Hivi unaoaje Mwanamke asiye bikira?Kwema wakuu!
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.
1. Mliambiwa Mwanamke anatakiwa Aolewe akiwa Bikra, mkasema bikra haimfanyi Mwanamke kuwa mwaminifu. Mkajiona mnaakili kuwashinda Mababu zenu.
Sawasawa, huu ndio muda wa kuvuna mlichopanda.
2. Mliambiwa na Mababu zenu kuwa Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi, kupewa nafasi za utawala.
Ninyi mkajiona mnaakili kuwashinda wazee wenu. Hizi ni Mvua za rasharasha tuu. Nafikiri kizazi kinachofuata ndio mavuno yatachanganya.
3. Mliambiwa na Wazee wenu kuwa Hakuna urafiki baina ya mwanaume na Mwanamke. Mkawaona wazee wenu ni hamnazo.
Ati MTU anaruhusu Mkewe ataniwe taniwe hovyo, simu ya Mkeo imejaa chatting akichat na wanaume, Kwa kisingizio ni marafiki zake, sijui wafanyakazi wenzake, sijui classmates gani Huko.
Mtavuna mlichokipanda.
Eleweni kuwa NI ngumu Sana Mwanamke kuchapwa ndani ya siku moja bila mazoea.
4. Mliambiwa mkapuuza, msioe Wanawake wenye watoto, hasa Kwa kijana ambaye ni mdogo. Mkajifanya mnayajua mapenzi kuliko waliowazaa.
Sasa yakiwakuteni mnaanza kupiga mayowe.
Vijana lazima mjue kuwa kuna tofauti ya mapenzi na Ndoa. Mapenzi ni hisia lakini ndoa au familia ni taasisi inayoongozwa Kwa sheria na kanuni. Wakati mapenzi hayana Kanuni wala sheria.
Sio kosa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na single mother, Ila ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.
Na hapa nazungumzia Kwa vijana wadogo wenye umri Chini ya miaka 40. Wazee mnaweza kuoa Mwanamke yeyote.
5. Mliambiwa msioe makabila tofauti. Mkajifanya mnaakili kuliko Babu zenu. ATI Kwa kudanganywa na maneno ya kisiasa. Ni kweli Sisi ni taifa moja lakini Sisi ni makabila tofauti yanayounda taifa moja.
Utofauti wa kimakuzi, desturi na Mila huchangia pakubwa kuvurugana ndani ya Familia.
Lakini hamtaki, kisa mnajifanya mmesoma, sijui mnashahada za uzamivu🤣🤣🤣 sasa mtavuna maumivu.
6. Mliambiwa Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini. Lakini Kwa ulofa wenu mmejichanganya.
Ni kweli wanasura za huruma, ni kweli wanatoaga machozi, ni kweli wanauwezo wa kuigiza ili waonewe huruma lakini kamwe usijichanganye.
Tumieni Akili, tumieni busara na hekima lakini msiongozwe na Huruma za kitoto na mihemko.
Oooh! Nimechepuka mara moja, nisamehe, ni Shetani, hakika Mimi ni Mwanadamu, huku anapiga magoti na kujiuliza. Upuuzi tuu! Sisi kama waafrika hakunaga kitu kinaitwa Msamaha Kwa kesi kama hizo.
Oooh! Huyu mtoto sio wako, Hana kosa lolote. Penda boga na Ua lake. Come on! Mmelogwa
Ooh! Taikon unachuki na Wanawake, hapana sina chuki. Hayo ni matunzo kila mwanaume lazima ayajue.
Vinginevyo vilio havikomi.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam