Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wewe hayajakukuta aisee bado wewe sio Muhanga 🤣 🤣 🤣 🤣😂Uzi mzuri Sana amepiga mulemule alafu huwa sikataagi ukweli aisee hata km umenigusa poa tu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hayajakukuta aisee bado wewe sio Muhanga 🤣 🤣 🤣 🤣😂Uzi mzuri Sana amepiga mulemule alafu huwa sikataagi ukweli aisee hata km umenigusa poa tu 😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuje upande wako, unafikiri Mkeo akikutana na Mimi nini kitatokea?
Ingawaje atakuwa shobo na Mimi lakini ninauhakika hana Sifa za kuwa na Mimi
Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.Ndugu mleta uzi nikwambie tuu, mambo ya kuchapiwa hayajaanza leo wala jana. Hata hao mababu wamechapiana sana tu. Tatizo lilopo siku hizi ni hii mitandao. Utandawazi tunasema. Ndio inafanya vitu vionekane vimeshika kasi sana, lakini kumbe hakuna kipya. Ni mitandao tuu inapush mambo yaonekane makubwa.
Yaani Mwanamke mwenye staha unaweza ukamjua tu japo yupo kwenye Keyboard hatumuoni, Je ingekuwa anaonekana?Alafu Vijana wasema hakuna Wanawake wakuoa Wakati kina Sophy wapo hata kama mpo wachache.
Kuteleza sio kuanguka.
Kama kiizazi chetu tumeanguka sio sababu ya kushindwa kurekebisha ili kulinda Watoto na wajukuu wetu
Mkuu watu wagumu kuelewa aisee 😅😅😅Ongezeko la tabia ya kuchapiana ndicho kinachozungumziwa.
Hakuna tabia Mbaya Mpya NI kweli. Lakini hapa tunangumzia ongezeko kubwa la kutisha la tabia hiyo
Unaweza ukajiona mjanja na mtu usie shindwa jambo ila kumbuka utavuna mabuwa na mwisho utajinyonga kwa uchungu sana. Hakuna jambo halina majibu ktk dunia ya sasa hasa huu mchezo wakudandia wake za watu ni hatari sana.Kaka nakuhakikishia kwa uwezo niliona kwa namna yoyote nikikutana na mke wako haijalishi ulimkuta bikra ukinipa daika tano za kuzungumza nae hatakuwa na uwezo wa kunisahau, kitakachofata baada ya hapo ni kupaga siku ya kumnyandua tu
Wanawake wanapenda wanaume wenye pesa, harafu uwe Hb na usiwe mjuaji
Sasa ww kwa ujuji wako huo naamini mkeo ameshakuchoka ni swala la muda tu.
Mkuu watu wagumu kuelewa aisee 😅😅😅
Kwema wakuu!
Hizi habari za kuchapiwa, kuchapiana Wake na Wachumba hizi ni Mvua tuu za rasharasha. Tunasema haya ni mavuno ya awali, bado mambo hayajachanganya. Mambo yakichanganya hapa Dunia itakuwa na tafrani.
1. Mliambiwa Mwanamke anatakiwa Aolewe akiwa Bikra, mkasema bikra haimfanyi Mwanamke kuwa mwaminifu. Mkajiona mnaakili kuwashinda Mababu zenu.
Sawasawa, huu ndio muda wa kuvuna mlichopanda.
2. Mliambiwa na Mababu zenu kuwa Mwanamke hapaswi kumiliki uchumi, kupewa nafasi za utawala.
Ninyi mkajiona mnaakili kuwashinda wazee wenu. Hizi ni Mvua za rasharasha tuu. Nafikiri kizazi kinachofuata ndio mavuno yatachanganya.
3. Mliambiwa na Wazee wenu kuwa Hakuna urafiki baina ya mwanaume na Mwanamke. Mkawaona wazee wenu ni hamnazo.
Ati MTU anaruhusu Mkewe ataniwe taniwe hovyo, simu ya Mkeo imejaa chatting akichat na wanaume, Kwa kisingizio ni marafiki zake, sijui wafanyakazi wenzake, sijui classmates gani Huko.
Mtavuna mlichokipanda.
Eleweni kuwa NI ngumu Sana Mwanamke kuchapwa ndani ya siku moja bila mazoea.
4. Mliambiwa mkapuuza, msioe Wanawake wenye watoto, hasa Kwa kijana ambaye ni mdogo. Mkajifanya mnayajua mapenzi kuliko waliowazaa.
Sasa yakiwakuteni mnaanza kupiga mayowe.
Vijana lazima mjue kuwa kuna tofauti ya mapenzi na Ndoa. Mapenzi ni hisia lakini ndoa au familia ni taasisi inayoongozwa Kwa sheria na kanuni. Wakati mapenzi hayana Kanuni wala sheria.
Sio kosa kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na single mother, Ila ni kosa la kimkakati kuingia ndoani na Single mother.
Na hapa nazungumzia Kwa vijana wadogo wenye umri Chini ya miaka 40. Wazee mnaweza kuoa Mwanamke yeyote.
5. Mliambiwa msioe makabila tofauti. Mkajifanya mnaakili kuliko Babu zenu. ATI Kwa kudanganywa na maneno ya kisiasa. Ni kweli Sisi ni taifa moja lakini Sisi ni makabila tofauti yanayounda taifa moja.
Utofauti wa kimakuzi, desturi na Mila huchangia pakubwa kuvurugana ndani ya Familia.
Lakini hamtaki, kisa mnajifanya mmesoma, sijui mnashahada za uzamivu🤣🤣🤣 sasa mtavuna maumivu.
6. Mliambiwa Msiwe na huruma Sana na Wanawake na msiwaamini. Lakini Kwa ulofa wenu mmejichanganya.
Ni kweli wanasura za huruma, ni kweli wanatoaga machozi, ni kweli wanauwezo wa kuigiza ili waonewe huruma lakini kamwe usijichanganye.
Tumieni Akili, tumieni busara na hekima lakini msiongozwe na Huruma za kitoto na mihemko.
Oooh! Nimechepuka mara moja, nisamehe, ni Shetani, hakika Mimi ni Mwanadamu, huku anapiga magoti na kujiuliza. Upuuzi tuu! Sisi kama waafrika hakunaga kitu kinaitwa Msamaha Kwa kesi kama hizo.
Oooh! Huyu mtoto sio wako, Hana kosa lolote. Penda boga na Ua lake. Come on! Mmelogwa
Ooh! Taikon unachuki na Wanawake, hapana sina chuki. Hayo ni matunzo kila mwanaume lazima ayajue.
Vinginevyo vilio havikomi.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mungu uovu hauondoi na atauacha uzidi kuongezeka ili baada aje kuukomesha kabisaSi ndio hapo.
Hata Mungu Hana Mpango WA kuondoa uovu wote Duniani Ila anapunguza pale anapoona umezidi.😀😀
Ila kunavitu mnakosea sana hasa suala la uchumi wengi tumezaliwa familia za kawaida hivo tunahangaika mno kujitafutia mtoto wa kike asiejishughulisha miak hii kuwa kahaba ni jambo la kugusa tu tunajificha tu tuonekane ni wife material siwez kukaa et nisinunue kiwanja nisijenge Kwa dhana ya kuwa wanaume Hawaoi wanawake wanaojitafutia ilo haliwezekani kunawatu wengi nyumayngu wananitegemea nisipofanya kazi halali maanaYyake nitakuja nifanye za Siri
Neuro haya njoo
Wake za watu ni sumu sana, Kuna demu pale kitaa nilikuwa nimezoeana nae sana maana ni Mama Ntilie sometimes nilikuwa nakunywa supu au msosi wa mchana kama nipo around mitaa ile. Yule demu akawa amechukua mpaka namba akiivisha chakula lazima anipigie kuniuliza kama nakula, Basi mazoea ya kucheka, na kumnunulia kinywaji.Unaweza ukajiona mjanja na mtu usie shindwa jambo ila kumbuka utavuna mabuwa na mwisho utajinyonga kwa uchungu sana. Hakuna jambo halina majibu ktk dunia ya sasa hasa huu mchezo wakudandia wake za watu ni hatari sana.
Mapenzi Ni pesa Nikki masanja wanagongewa tu
Kataa ndoa
Ndoa ni laanakumu
Muhimu utafute kwaajili ya familia Yako na mumeo afahamu unachofanyaMKE Bora na Mwema lazima ajishughulishe kumsaidia mumewe kujenga familia. Hiyo ndio maana ya MKE.
Tafuta mwanaume anayejua Mume ni nini na MKE ni nini.
Tatizo wanaume wengi hawataki mfanye kazi Kutokana na hulka ya Wanawake wengi mkifanyakazi na Kupata miambili miatatu mnakuwa na vitabia vya kishenzi.
Hicho ndicho wanaume HATUTAKI