Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Boss wangubaliniunganisha na wanae bila yeye kujua; boss alitumia simu ya mwane kunipigie simu yake iliingizwa kwenye maji na mwanae mmoja mtukutu ki bahati mbaya.

Kwa vile boss alikua ananiamini na kushibana sana hivyo alijua namba yangu kichwani. Baada ya siku tatu kuipiga namba ile mtoto wa boss akapokea aisee mtoto saiti na kuongea yake tu ilikua inatoa picha kua mtoto yupo poa sana ; kumbe tulimaliza chuo mwaka mmoja na tukawa wote ndo tumeshaanza kazi tayari.
Niliomba urafiki wa mazoea baadae uchumba na siku anakuja kunitambulisha boss alicheka balaa make aliniambia ofisini kua mwanae anakuja kumtambulisha mchumba wake nyumbani; mimi nikawaombea tu mapkezi mema nikiwa namtania boss usikaze sana. Alishangaa siku ya siku ananiona na marafiki zangu wawili mzee alianza kufuta vumbi machoni akiisi kama macho yake yanashida siyo mimi. Baadae akawa ananiambia mbona sikuwahi kubadilika kuanza kumuogopa ofisini? Nikamjibu ?mpaka nilipomwona ndo nikaamini kua wife ni mwanae. Mungu alishatujalia watoto sana na wife mtoto wa Boss.
 
Hahah dah! Pole mkuu Vyombo vikali wenzio huwa hatuviachi viende kizembe zembe
 
Na bado unaendeleza kautani na baba mkwe aka Boss
 
Kumbuka huyo jamaa uliye mpokonya bado anapasha kipoloooo
 
Na bado unaendeleza kautani na baba mkwe aka Boss
Tulishabadilisha kampuni ila matani yanaendelea kama kawa; tutatoka na kukutana sehemu na mzee baba tukijadili dili alafu tunagawana chapaa dili ikiitikia. Mzee babaa hua mkali sana wakati wa mshiko ila nami namkazia simwachii ata chenchi make namtunza mwanae pia.
 
Thank you so much Kasie Mnyamwezi
🌹🌹🌹


Hahahahahahhaasa wewe B to the K, ni hivi karibuni ndo umetambua Kasie ni mnyamwezi? Sio kwa kupigia mstari huko heheheheee
No harm by the way.

Karibu morning swimming before breakfast, hadi jumapili nahisi ntakuwa kambale mzee.
 
Reactions: BAK
Wallahi nilikuwa sijui kama weye ni wa kabila kubwa. Ogelea kwa raha zako and always remember that swimming πŸŠπŸ½β€β™€οΈ is good for your heart 🌹🌹🌹

Hahahahahahhaasa wewe B to the K, ni hivi karibuni ndo umetambua Kasie ni mnyamwezi? Sio kwa kupigia mstari huko heheheheee
No harm by the way.

Karibu morning swimming before breakfast, hadi jumapili nahisi ntakuwa kambale mzee.
 
Wallahi nilikuwa sijui kama weye ni wa kabila kubwa. Ogelea kwa raha zako and always remember that swimming πŸŠπŸ½β€β™€οΈ is good for your heart 🌹🌹🌹

Kudos.
 
Reactions: BAK
Aisee hilo balaaa...Yani umemkuta anagongwa gest na wewe ukaliunga jumlaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 

SPW umenikumbusha Mbali sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…