Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mimi wangu ilikuwa hivi nilikuwa na manzi napiga kisela sasa siku Moja usiku akanipigia simu kwamba yupo coco beach na friend wake niende ..Mimi mida hiyo nipo nacheki game ya UEFA Makumbusho nikamjibu siwezi kuja huko njooni makumbusho bajaji nitalipa nimekaa mda simu wamefika naenda wapokea aseee nakutana amaniletea pisi Moja hatari wife material ..asee nazani yule dada huko alipo Hadi Leo anajuta sana ..nilikaa na wale mamanzi nikawaambia wale watakacho ikawa hivyo Sasa kosa Moja yule manzi yangu alivyoenda washroom nikachukua Namba Kwa mbinde sana .

Kufupisha story tulimrudisha kwao me nikaenda na manzi yangu kupiga .After week tukachekiana na yule dada na Hadi Leo ni Mke wangu wa ndo na tuna watoto wawili.
 
Kwenye kikao cha familia
 
Mie nilikutana nae bank niliendwa kutambulishwa nikiwa ndo nimeajiriwa kwenye hiyo wilaya nikatambulishwa mtoto nilivomuona nikasema yeees huyu ni mke wangu from there its history now tuna watoto 2 miaka 7 ya ndoa
 
Hii kwa kitalaamu tuite round about
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…