Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ninyi ni mwili mmoja sasatuna miaka 6 sasa pamoja![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi ni mwili mmoja sasatuna miaka 6 sasa pamoja![]()
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23] bado uko Moshi Mkuu
Hapo kwenye kunywa ulabu na kugegeda tubinti haupo sawa mkuu, tulia na mtunza hazina wako au kama nguvu bado unazo ingia kwenye mfumo wa Polygamy tu ujiepushe na uzinzinikiwa niko kwenye kunywa ulabu na kutugonga tubinti tunaoniita kijana bila kujua umri umeenda.
Ndoa yenu na iheshimiwe na wana JF wote.No 8
KikoloTulikutana Jf tukafunga ndoa ya kanisani na sasa nina watoto wawili nae
Kwenye kikao cha familiaKuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK
Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.
Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.
Wewe ulikutana naye wapi?
beeKikolo
Gwalobwike kanunu?
Hongera sana mshukuru possible kwa kukupa mkealikuaga ni rafiki wa bro wangu[emoji23] asa alimpa namba ili tuwe tunabadilishana possibles kipindi cha mitihan ya Six woooii from kubadilishana possibles hadi kuwa wazazi[emoji23][emoji119][emoji174] tuna miaka 6 sasa pamoja[emoji7][emoji3060]
Nalobwike gwalobhwike nungweGwalobwike kanunu?
Mie nilikutana nae bank niliendwa kutambulishwa nikiwa ndo nimeajiriwa kwenye hiyo wilaya nikatambulishwa mtoto nilivomuona nikasema yeees huyu ni mke wangu from there its history now tuna watoto 2 miaka 7 ya ndoaKuna watu walikutana na wenza wao katika maeneo kama haya
1. Gulioni
2. Kwenye matamasha
3. Kanisani ama msikitini
4. Stendi ya basi
5. Kilingeni
6. ofisini
7. Kwenye kampeni za uchaguzi
8. JF
NK
Waliyajenga na leo hii ni wanandoa wenye familia zao.
Mie nilikutana naye kanisani tukayajenga tukawa mwili mmoja, na mwaka huu tutasherehekea anniversary ya robo karne ya ndoa yetu.
Wewe ulikutana naye wapi?
Hii kwa kitalaamu tuite round aboutMimi wangu ilikuwa hivi nilikuwa na manzi napiga kisela sasa siku Moja usiku akanipigia simu kwamba yupo coco beach na friend wake niende ..Mimi mida hiyo nipo nacheki game ya UEFA Makumbusho nikamjibu siwezi kuja huko njooni makumbusho bajaji nitalipa nimekaa mda simu wamefika naenda wapokea aseee nakutana amaniletea pisi Moja hatari wife material ..asee nazani yule dada huko alipo Hadi Leo anajuta sana ..nilikaa na wale mamanzi nikawaambia wale watakacho ikawa hivyo Sasa kosa Moja yule manzi yangu alivyoenda washroom nikachukua Namba Kwa mbinde sana .
Kufupisha story tulimrudisha kwao me nikaenda na manzi yangu kupiga .After week tukachekiana na yule dada na Hadi Leo ni Mke wangu wa ndo na tuna watoto wawili.
Nalobwike kikolo,,ikyinja kije kinunu kumyako.Nalobwike gwalobhwike nungwe
AmeenNalobwike kikolo,,ikyinja kije kinunu kumyako.
Tafsiri plzNalobwike kikolo,,ikyinja kije kinunu kumyako.
Mbarikiwe sanaMie nilikutana nae bank niliendwa kutambulishwa nikiwa ndo nimeajiriwa kwenye hiyo wilaya nikatambulishwa mtoto nilivomuona nikasema yeees huyu ni mke wangu from there its history now tuna watoto 2 miaka 7 ya ndoa