Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hapo kwenye kunywa ulabu na kugegeda tubinti haupo sawa mkuu, tulia na mtunza hazina wako au kama nguvu bado unazo ingia kwenye mfumo wa Polygamy tu ujiepushe na uzinzi
Dah ndugu yangu umri umesogea kidogo .
Ila Alhamdulilah mtunza hazina wangu yeye ndiye mwenye kadi zote za benki na ndiye unikatia fungu la urabu na matumizi ya kiume kila mwisho wa mwezi .

Ndugu kwa hutu tubinti natafuta katoto maana kwa mtunza hazina na umri huu bado kubahatika ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…