Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Hapo kwenye kunywa ulabu na kugegeda tubinti haupo sawa mkuu, tulia na mtunza hazina wako au kama nguvu bado unazo ingia kwenye mfumo wa Polygamy tu ujiepushe na uzinzi
Dah ndugu yangu umri umesogea kidogo .
Ila Alhamdulilah mtunza hazina wangu yeye ndiye mwenye kadi zote za benki na ndiye unikatia fungu la urabu na matumizi ya kiume kila mwisho wa mwezi .

Ndugu kwa hutu tubinti natafuta katoto maana kwa mtunza hazina na umri huu bado kubahatika ndugu.
 
Sio mke mkuu ni mume
emoji23.png
emoji16.png
Hapo sawa maana hata mie sikumuelewa aliposema umepata mke ilhali wewe ni mwanamke 🤣
 
Back
Top Bottom