Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Tunaosubiri location tujuane😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi humkupambana na wenye wivu?Uzur tulipendana sana
Kuna kauzi kenu nakaandaa 🤣Tunaosubiri location tujuane😅
Hongera sana mkuuNiliunganishwa na rafiki yangu, nikabaki kupambania kombe hatimaye nikatoboa
Vipi humkupambana na wenye wivu?
We ni mvuvi bila shaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana mkuu,nilivyogundua mama yake kajua mahusiano yetu nikaamua kuhama ili tuwe huru zaidi.Ulipunguziwa hata kodi bila shaka [emoji1787]
Hongera sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana mkuu,nilivyogundua mama yake kajua mahusiano yetu nikaamua kuhama ili tuwe huru zaidi.
Hata kurudi kwenda kujitambulisha rasmi sikupata kipingamizi kwani walikuwa wanajua tabia yangu ni safii[emoji23]
Safi sanaNi kama dhali tu liliniangukia road nikakutana na my beautiful angel.