Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

Nilimkopesha hela akashindwa kulipa nikataka nile kimasiala ndiyo hivyo tena the rest ni story .

Ila lile kabila Mungu anawaona nililazimishwa kuoa kisa nimemlaza mtoto wao nje

Mzaramo mimi kila nikipiga mdomo waniteme ndiyo kwanza wanasema twende kwenye sheria .

Napiga simu nyumbani naambiwa kwan shida ni nini si uoe yaani kiufupi dunia ilinitenga kwenye hili suala mwisho nikaoa .

Nafurahia kumjua mtunza hazina wangu na msimamia mipango mwamba nikiwa niko kwenye kunywa ulabu na kutugonga tubinti tunaoniita kijana bila kujua umri umeenda.
 
Ulipunguziwa hata kodi bila shaka [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapana mkuu,nilivyogundua mama yake kajua mahusiano yetu nikaamua kuhama ili tuwe huru zaidi.
Hata kurudi kwenda kujitambulisha rasmi sikupata kipingamizi kwani walikuwa wanajua tabia yangu ni safii[emoji23]
 
Hongera sana
 
alikuaga ni rafiki wa bro wangu[emoji23] asa alimpa namba ili tuwe tunabadilishana possibles kipindi cha mitihan ya Six woooii from kubadilishana possibles hadi kuwa wazazi[emoji23][emoji119][emoji174] tuna miaka 6 sasa pamoja[emoji7][emoji3060]
 
Back
Top Bottom